Du Bois ideas
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 427
- 83
Wana Jf,
Naomba kufahamu, hivi uchaguzi wa H/mashauri ya Uvinza umekwendaje. kati ya CDM na NCCR nani ametoa M/kti wa H/mahsauri? Nafikiri Makamu M/kiti atakuwa ametoka CCM kwa kuwa ndio waliorudisha fomu ya Makamu