Uvimbe mdogo kwenye moja ya korodani za mwanaume ni sawa?

Wakuu Habal zenu? Mie ninasumbuliwa na tatizo la korodani moja kuwa kubwa kushinda nyenzie.

Katika hili kitu kinacho nitatiza na kuniogofya ni hali hizi.

1 hii korodani inamishipa mingi sana tofauti na hii nyingine

2 Huwa ikitokea bahati mbaya yoyote ile kubwa au ndogo ya kujibamiza au kuibamiza maumivu yake huwa yanakuwa makali saaana na yanaweza chukua hata dakika 7,

tafadhar wajuvi naomba msaada wenu kujua nasumbuliwa na ugonjwa gani na je halii hii ikienderea inaweza ikazalisha ugonjwa gani? Na pia ni hosptal gani sahihi kwa tatizo hili nililonalo.

Asanteni sana.
Pole mkuu,muone UROLOGIST!
 
Nenda Natural Therapy centre pale opposite na Hindumandal hospital kama upo Dar. Watakupa dawa.
 
Pole ndugu ...wahi hospital kabla tatizo halijawa kubwa.... unatakiwa kumuona daktari wa mkojo (Urologist)..kama upo dar wanapatika pale regency
 
Dalili ya kuwa wewe unayo maradhi ya ngiri aka ngiri ya mshipa nenda kamuone Daktari au ukitaka dawa toka kwangu Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Mtaalamu nikigusa kwenye korodani yangu ya upande wa kulia juu yake nahisi viupele vimeotea, na nimeenda hospital kupima mbegu zangu nikaambiwa kuwa shahawa zangu zina maji mengi na asilimia 80 ya mbegu zangu zinakuwa zimekufa, asilimia 20 zinakuwa ziko hai lakini kutokana na umbo la kichwa lilivyo basi haziwezi kutungisha mimba.Naomba msaada wako doctor??.
 
Vipi ulipata tiba au bado?
 
Ulienda hospital gani ukaonana na daktar gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom