UVCCM yamvaa Lowassa, wasema watamnyosha


Sjawahi on a ccm akawa na akili zaidi ya vyama pinzani hivyo namashaka naakili yako sizan kama umekamilika
 
hii jumuiya ya vijana wetu nayo inapwaya kila uchao hivi ile ya akina nchimbi ilifia wapi?
-mungu bariki c.c.m yangu.
 
Kura yangu ni Ukawa - Rais, Mbunge na Diwani.

eeewe mwenyezi mungu mwingi wa Rehema nijaalia uhai iliniweze kushuhudia ile kitu wazungu wanaita
Change of Government...... Inshallah
 
Haaaaahhhhhh awa ma CCM wanatishia kujamba kumbe wanaharisha
 
Tunamshukuru sana Rais wetu JK kwa kutuletea UKAWA. Mungu akulinde ktk maisha yako unapoondoka Ikulu na CCM yako, hakika umetuachia ukombozi wa Taifa letu na sasa tutafurahia utanzania wetu.
 
masopakyindi, mbona hukuweka like kwenye hilo tamko la UVCCM? je huumngi mkono Shaka Hamdu Shaka (MNEC)
Naibu Katibu Mkuu UVCCM (Tz) Zanzibar? Hebu kuwa muungwana, mpe kijana wa watu Like!
 
Last edited by a moderator:
kama ni kwetu hana cha kutufisadi kumbuka kubeba kura yako tarehe 25 oct utashangaa ukifika tu unampigia yeye kuingia ikulu kuliko huyu alcohol wa bil.252
 
Mungu wangu makonda kaanza tena mambo yake.
 
Haaata aje malaika ndani ya ccm hakuna lolote, lamsingi jipangeni kisailojia kuwa wapinzani wakuuu safari hii mtapogishwa kwata za jkt mpaka mjishangae,wenyewe moto ww UKAWA kibokooooo
 
huu ni umoja wa watu wachache wanaotafuta madaraka kwa nguvu kwa kujipendekeza na kuwalamba watu miguu......UVCCM KAENI MKIJUA KWABA HAYO MANENO MNAJIAMBIA WENYEWE HAMNA MTU YOYOTE MWENYE AKILI TIMAMU ATASIKILIZA HUU UGORO WA MTU ANAEWEWESEKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…