UVCCM yajibu mapigo ya Lowassa

Ni kweli UHURU wa Kidemokrasia na kujitawala ni UPUUZI bila shibe na maendeleo ya kisekta??? Ni kwa nini KATIBA YETU inatamka Nchi yetu ni ya UHURU wa Kidemokrasia??
Sababu ni kuingia katika mfumo wa vyama vingi.
 
Naweza kusema tatizo la Shaka hajui anachokiongelea, Na hili linaweza kuwa linasababishwa Na kuwa Na elim ndogo yakutambua Na kuchanganua mambo. Kipindi cha kampein nikipindi cha Chama cha siasa kutambulisha Sera za Chama Na mtu wanayemwona anaweza kutekeleza sera hizo za Chama chao(mgombea urais). Mtu hiyo atakae shinda kwenye kuuza sera za Chama chake atakuwa rais ambaye cheo chake anakipata kutokana Na kuuza sera za kisiasa.

Kwahiyo hata rais shughuli zote anazozifanya akiwa ikulu nukutekeleza sera za Chama chake cha siasa. Kwa maana hiyo kila siku yeye anafanya siasa. Sasa inakuwaje uwazui wenzako wasifanye siasa wakati wewe unaziishi?
 
Jeuri ya UVCCM ni kwenye goli la mkono na si kitu kingine. Ndio maana wakakwambia siasa ina fomula. Fomula hiyo si nyingine Zaidi ya bao la kiganja.
 

Kwanini mtu mzima anayejikuta mwenye akili timamu anaongea upuuzi kiasi hiki?
Sera zinauzwa wapi?
Rais upatikana kwa kupigiwa kura na wanasiasa na wasio wanasiasa hili tambua, endapo zitatosha kumfanya kuwa rais uhapishwa kwa kufuata Katiba yetu ya mwaka 1977 kisha uanza kufanyakazi zake kikatiba na sheria kama inayoeleza hii yenye maana hawi tena mwanasiasa kwa wakati huo bali Mtawala kwa nchi.
NB;Rais anafanya yale aliyoyaahidi(Sera na Ilani) na ziada hivyo hawi mwanasiasa anakuwa mkuu wa serikali ya nchi.
 
Shaka Hamdu ndugu yangu utaendelea mpaka lini kuandikiwa hotuba, makala na kukufanya wewe uwe kama kasuku kwa kuyiga wasemayo? Ndioo maana mpkaleo bado una kaimu tu. Kama wewe ni mweledi wa siasa za CCM kitu gani kinakuwa kikwazo ya kutambulika rasmi kuwa Katibu Mkuu.
Ushauri , anza kuchukuamafunzo ya jioni , hata ya madrasa alau upate sifa ka vile " sheikh" Hamid alau utanyanyuka kihadhi na utasita kutumiwa kasuku uwe ndio mtu wa kutangaza porojo
 
Huyu ni shaka au chaka?! Maana kama ni shaka hajui anachokisema anajitekenya na kucheka mwenyewe na kama ni chaka basi abaki huko huko machakani aongee na tumbili sio sisi, chaka sio saizi ya EL kamwe!
 
Jeuri ya UVCCM ni kwenye goli la mkono na si kitu kingine. Ndio maana wakakwambia siasa ina fomula. Fomula hiyo si nyingine Zaidi ya bao la kiganja.

Toka umeanza kupiga hilo bao la mkono wewe umepata jeuri?! Kaa kimya Wazalendo wanapoongea.
 
Mleta maada yupo kwenye special task ya kikinadi na kukitetea chama sijui ni kwa ujira ule au kuna ajenda ficho! Manake kwa utetesi huu usio na mpangilio sidhani kama 2020 atakuwa na nguvu hizi au zitakuwa zimekata.
Kama ni mkakati wa kuimiliki mitandao kwa misingi ya kukipigia chama chapuo, basi polepole keshaanza na kushindwa. Nimsaidie wazo tu, wapige msasa hao vijana wako jinsi ya ku-propagate na wawe na uelewa wa hoja. Au niajiri nikusaidie kuwanoa. Sudy kalale huna hoja!
 
Toka umeanza kupiga hilo bao la mkono wewe umepata jeuri?! Kaa kimya Wazalendo wanapoongea.
Mimi huwa sipigi bao la mkono na wala sitawahi kujaribu kufanya hivyo. Ninaamini sana katika kutenda haki. Uzalendo bila haki ni kitu kisichofaa kabisa. Sitakaa kimya kama utakavyo wewe, bali nitaongea maana uhuru wa kuongea ninao.
 

Naamini wewe kama mwenye kumsaidia huyo Shaka kuandaa hizo hotuba na kumlisha maneno msaidie na kumsomesha alau apate hizo sifa unazozitaka wewe kuondoa huo ukaimu.

"Unapokosoa uwe na uwezo wa kutengeneza'
 
Mimi huwa sipigi bao la mkono na wala sitawahi kujaribu kufanya hivyo. Ninaamini sana katika kutenda haki. Uzalendo bila haki ni kitu kisichofaa kabisa. Sitakaa kimya kama utakavyo wewe, bali nitaongea maana uhuru wa kuongea ninao.
Sasa kama unakera na Upigaji wa bao la mkono nenda mahakamani katafute haki kwa unachokiona kinakunyima haki.

Unaakili za kitoto......hakika ukapimwe maana unaweza kufanya mambo ya ajabu 2020.
UVCCM ndio tanuru pekee la kutengeneza Viongozi makini tulionao sasa na wanaokuja.
 
Chama cha Mafisi huwa hawashindi kihalali. Ni mara chache sana waliwahi kushinda ufalme kihalali

Mbona Chadema na mafisadi wote mlio nao lakini bado hamshindi.
Uchaguzi wa kweli nawa haki ni ule uliohuru......Chaguzi zetu zote zipo huru naza haki.
 
Sijawahi kuona kijana mwenye akili hasa (pretty bright young man) halafu akawa mwanachama au shabiki wa UVCCM. UVCCM kwa kiasi kikubwa ni taasisi ambayo huwaondolea vijana uzalendo kwa Taifa na kuwatwisha ukasuku wa chama. Taifa hili tungenufaika sana kama laiti tungekuwa na vijana wazalendo kwa Taifa lao. UVCCM ni laana kwa Taifa kwa sababu ipo kwaajili ya kuua uhuru wa akili za vijana na kubakia kuwa waimba viitikio vya nyimbo za chama bila kutafakari wala kuhoji. Unapoua fikra za vijana umeua Taifa.
 

Hivi huu ni uelewa wako kuhusu UVCCM!?
Ngoja nikufumbue macho kidogo, UVCCM katika taasisi au jumuiya za Vijana inayopika Vijana wengi Wazalendo kwa taifa leo na kutoa Viongozi makini wanaosimama katika Ujamaa na Kujitegemea ila pia kusema kweli.
 
Mahakama ipi niende, hii hii yenu?! Yaani nipeleke kasi ya kurwa kwa doto! Nikipata mahakama iliyo huru nitapeleka kero yangu. Na isitoshe, mbona unaweweseka sana na mimi kusema ninavyosema! je ningekuwa mpiga bao la mkono kama ninyi ungefanyaje? Kwa Taarifa yako, Kama unadhani UVCCM ndio tanuru pekee la kuzalisha viongozi bora, usisahau pia kuwa ni tanuru hilo hilo ndio lililotuzalishia mafisadi papa walioitafuna nchi yetu, wanaoitafuna sasa na watakaoitafuna siku za usoni.
 
Kumbe unatafuta AJIRA 😱😱😱
Basi pole umefail hapa zaidi nunua Gazeti Mtanzania usome vizuri ili kukufikra zako zilizoshindwa kujiajiri.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Akili zako zipo KIBASHITE BASHITE
 
Kama umeshindwa kuhamini hadi MAHAKAMA basi wewe ni ZWAZWA kipimo cha Checkup ya AKILI kinahitajika.
Pia tambua tu kama mmeshindwa kutengeneza Bavicha vizuri ili kuwa tanuru la viongozi bora basi mmejipanga kuto kuwa na Viongozi wenye uzalendo kwa nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…