Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,664
- 8,285
Acha uzwazwa JoWewe ni bavicha
Na weeeeewe ni Ba vichaa.Acha uzwazwa Jo
Piganeni kama vipiWakuu Kuna. sauti ya Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Mkoa wa Pwani Ramadhani Mlao akizungumza na Makatibu wa Vijana wa Mkoa wa Pwani.
Kuwaambia kuwa ametumwa na Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa ndugu. Kenani Kihongosi awape maelekezo ya kumchagua Mohammed Kawaida
Mlao amewaambia Makatibu kuwa Kenani Kihongosi mwenyewe atawasilina nao Makatibu kuwaambia wamchague Kawaida
Ni ajabu na kweli
Mkurugenzi wa Uchaguzi anamfanyia Kampeni mgombea
Nimeshindwa kuiweka hyo sauti ya dogo Mlao.
Waliozoa kula nyama ya mtu hamuachi. Mnakanyagana huko.Wewe ni bavicha
Wataibiana kura wee subiri tu utaona[emoji23]Waliozoa kula nyama ya mtu hamuachi. Mnakanyagana huko.
Umri wako umeenda sana, haifai kuwapiga majungu vijana wa uvccmWataibiana kura wee subiri tu utaona[emoji23]
Tena ni kijana wa Mbowe haswa.Wewe ni bavicha
Kwa hiyo anyamaze wakati anaona vijana nyang'au wanaiharibu nchi kwa kisingizio cha umri?Umewaza vizuri kweli?Hebu jitafakari.Ukiona unakwama jiuzulu hata kuishi tu.Umri wako umeenda sana, haifai kuwapiga majungu vijana wa uvccm
Mkuu Linguistic, ukiisha sema kuna sauti, then weka sauti, tusikie, ikitokea umeshindwa kuiweka usiseme kuna sauti, sema kuna tetesi na sio sauti!.Wakuu Kuna. sauti ya Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Mkoa wa Pwani Ramadhani Mlao akizungumza na Makatibu wa Vijana wa Mkoa wa Pwani.
Nimeshindwa kuiweka hyo sauti ya dogo Mlao.
CCM imejijengea mizizi ya kuchezeana rafu ili mtu ashinde.Wakuu Kuna. sauti ya Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Mkoa wa Pwani Ramadhani Mlao akizungumza na Makatibu wa Vijana wa Mkoa wa Pwani.
Kuwaambia kuwa ametumwa na Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa ndugu. Kenani Kihongosi awape maelekezo ya kumchagua Mohammed Kawaida
Mlao amewaambia Makatibu kuwa Kenani Kihongosi mwenyewe atawasilina nao Makatibu kuwaambia wamchague Kawaida
Ni ajabu na kweli
Mkurugenzi wa Uchaguzi anamfanyia Kampeni mgombea
Nimeshindwa kuiweka hyo sauti ya dogo Mlao.
Vipi mkuu ana samanini nini mwanangu?ahahahaUmri wako umeenda sana, haifai kuwapiga majungu vijana wa uvccm
Hawa panyaroad wameshapoteza diraWakuu Kuna. sauti ya Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Mkoa wa Pwani Ramadhani Mlao akizungumza na Makatibu wa Vijana wa Mkoa wa Pwani.
Kuwaambia kuwa ametumwa na Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa ndugu. Kenani Kihongosi awape maelekezo ya kumchagua Mohammed Kawaida
Mlao amewaambia Makatibu kuwa Kenani Kihongosi mwenyewe atawasilina nao Makatibu kuwaambia wamchague Kawaida
Ni ajabu na kweli
Mkurugenzi wa Uchaguzi anamfanyia Kampeni mgombea
Nimeshindwa kuiweka hyo sauti ya dogo Mlao.
Utabiri!! Tusubiri tuone sisi au tusipokuwepo wataona wengine !! Muosha huoshwa. !!Wakuu
Mama anapoanzisha safari MPYA ambayo haikuwepo na kujitahidi kupanga safu yake na magwiji wa ccm Bara wanajitahidi kurudisha malengo ya mwanzoni yaliyokubaliwa kabla kwamba amalizie awamu ya yule aliyemwachia akae pembeni,
Hii italeta sintofahamu kuu NDANI ya CHAMA na kusababisha utabiri KUTIMIA kwamba "Baada ya Mwanamke upinzani utashika hatamu"
Je ni upinzani huu!?au ujao MPYA au ULE wa Kati kama nccr,Act watapewa Ili kuzuia MADHARA ya upinzani HALISI kushika hatamu!?
Tuisubiri
Halafu kesho utakuwa na uzi humu kuwa Wakenya wanaukabila..... Tanzania huu ndiyo ukabila wenyewe.Wewe ni bavicha