UVCCM wataka mafisadi wafukuzwe uanachama

UVCCM ni matatizo matupu hawa,wacha wamalizane wenyewe kwa wenyewe.Naamini hawakemei ufisadi kwa dhati.
 
Mla kuku wa mwenziwe miguu humgeukia,UVCCM imekula kuku wa mafisadi sasa miguu ya hao kuku inawageukia wao
 
Ni kweli wanaongelea kuhusu Ufisadi ama ni ishu ya maslahi? Vipi mbona hawasikika hata siku moja wakishinikiza wahusika wa EPA washtakiwe?CHADEMA ilipotoka na ile List of Shame mbona hawakuwaunga mkono chadema,kama ufisadi unawakera kiasi hicho?waache kuwahadaa watanzania,it's too late!
 
Kumbe nyie hamjaelewa.... kwao fisadi ni Mwakyembe,Sitta,Ole Sendeka na Mama Kilango soma hapo na umuangalie nyendo zake shigella ndo utajua analengawakina nani. El fin

Kwa hiyo Mrisho Gambo alikosea kuwa taja akina EL na RA nini?

Niwaaambieni na hili kila mara nalirudia ni kwamba UVCCM imeisha sambalatika kabisa hapo kila mmoja anajaribu kusema anayayajua ila kiukweli mkirudi nyuma uchaguzi ulio pita ndio evidence ya kwanza kujua hilo kwani aliyo yasema Gambo na details nilizo zipata tokea Arusha ni kweli UVCCM Arusha karibia 70% haikumchagua Batilda wala JK kwani kulikuwa na mapishano makubwa wakati wa kura za maoni wananchi hawakusikilizwa na uvccm waliwaambia mama batilada hatakiwi bali walilazimisha akapita na faida yake ndio hiyo sasa mwaona majungu ila Gambo alisema wazi sasa mwazania kuna UVCCM ?? walisha choshwa na ukilitimba wa viongozi wa juu wa CCM wanataka sasa mabadiliko na watu wanao wataka na wano kubalika katika jamiii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom