B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,739 Reaction score 14,941 Mar 4, 2010 #21 upele said: mie siombi lolote cous wanazidi kujipendekeza wao wanafaidi wengi wanaumia hivi uvccm ni chama cha vijana au ujinga vema kwa ccm Click to expand... Hawa vijana inasemeekana walitokea huko Iringa kwenye chuo cha CCM ambako walikuwa kwenye mafunzo ya jinsi ya kuiba kura kwenye uchaguzi mkuu ujao; walipokuwa wanarudi makwao ndio wakakumbana na dhahama hiyo!!
upele said: mie siombi lolote cous wanazidi kujipendekeza wao wanafaidi wengi wanaumia hivi uvccm ni chama cha vijana au ujinga vema kwa ccm Click to expand... Hawa vijana inasemeekana walitokea huko Iringa kwenye chuo cha CCM ambako walikuwa kwenye mafunzo ya jinsi ya kuiba kura kwenye uchaguzi mkuu ujao; walipokuwa wanarudi makwao ndio wakakumbana na dhahama hiyo!!