UVCCM wameandaa Mkutano wa kuvunja amani Mwembe Yanga leo Oktoba 10, 2015

Vijitu vipuuzi kama hivi hata sio vyakulaumu..ni vyakupuuza tu!!
 
Kwani ni uongo? Mbona alijinyea mavi chato. Nyie wajinga kweli kweli. Fisadi lenu ni gonjwa linasemekana linakiharusi ndiyo maana mikono inatetemeka na hawezi kushika mike mkono wa kulia.
 
Usitukane utukanwapo kaa kimya Mungu mwenye huruma atakurehemu na kukupa ukitafutacho.
 
Kwani ni uongo? Mbona alijinyea mavi chato. Nyie wajinga kweli kweli. Fisadi lenu ni gonjwa linasemekana linakiharusi ndiyo maana mikono inatetemeka na hawezi kushika mike mkono wa kulia.

Omba msamaha, la sivyo MUNGU ATAKUADHIBU. OMBA MSAMAHA KWA MUNGU JUU YA MATUSI YAKO...LA SIVYO MUNGU ATAKUONYA BAADA YA USIKU WA LEO. Amen
 
CCM wanatukana kama mashoga wa mjini..
sijui hawakusoma ?
ninavyoelewa mimi msomi ni hoja na mjinga yake matusi.
 

upo sahihi hata huyo sadifa mafaniko makubwa ya kisiasa aliyofikia lowasa kachangia 90% . kama si lowasa alichofanya pale dodoma asingeshinda . Siasa tu hizi zisimfanye sadifa kujiona kama amefika kilele cha mafanikio ya kisiasa.
 
Kwanza nimesikitishwa na kauli zilizokua zikitolewa na Viongozi wa UVCCM za Matusi huku wakijua fika mkutano uko live.


Suala la Pili ni uwepo wa watu ambao siyo wa Temeke hali iliyoleta tafrani baadaye ambapo Mabasi madogo aina ya Costa na Uda yalikua mengi kuanzia hapa mwembeyanga kama stendi ya mabasi ya mikoani Ubungo nimeshangazwa na vijana walioulizwa wangapi mtampa kura mtemvu wakanyoosha mikono juu wakati siyo wapiga kura wa Temeke.



Katika hali ya kuonesha kutoungwa mkono walitangaza kuwa akina Juma Nature watakuepo na Wasanii kibao pia Magufuli atakuepo kupitia Redio ya Clouds Fm cha ajabu msanii aliyekuepo ni Chidi Benzi tuu na Magufuli hakuepo kama ilivyotangazwa.






Mkutano huo wa mwembeyanga Umesababisha watu wengi kutochukuliwa na kutelekezwa hapa Mwembeyanga umesababisha Wananchi waliokua wamevalia sare Kuachwa na Kwani walikua wamekaa kwa vikundi baada ya mkutano kuisha kusubiri magari yaliyokua yakidhaniwa yatarudi kuwachukua na hayakuja Binafsi nimesaidia Nauli ya Watu watano waliokua wanaenda Kibaha.






Natoa wito kwa jamii ambazo zinadanganywa na kupandishwa kwenye magari Kukataa kwani baada ya mkutano ni karaha CCM imekua ikiwatelekeza Uwanjani.


Mi nipo Kisuma hapa nakula nyama choma.................
 

ccm wamepoteza dira wamekuwa ndo wapinzani
 
Kuna maisha baada ya uchaguzi jamani, tyrants siasa za kistaarabu, wanaotukana sijui kama wanajua kama wanajipunguzia kura. TZ ya leo Si ya jana. Namalizia kuchart na bibi yangu bush kwa wats up. Kwahiyo uongo na ukweli unajulikana very fast kila kona ya Tz. Luna mango Mencken ya kuombea mfano, dangote, kiwanda cha hesitant nk, matusi hayana nafasi kabisaaaa
 
Wadau,
Abasi mtevu leo ktk viwanja vya mwembe yanga ameendeleza tabia ya ccm kutoa kauli za kuhatarisha amani. Alisema..'kule mbagala panapo tusumbua tutapanyia kazi maalumu..nimeshaongea na Yussuf Manji atatoa msaada tuwashughulikie,lazima tushinde kwa jinsi yoyote ile'

Hizi ni kauli hatarishi..vipo wapi vyombo vya usalama! Ipo wapi tume ya uchaguz!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…