UVCCM walaani Maandamano ya CHADEMA


Hapo anayeongea ni Ridhi huyo ni spika yake inatoa sauti tu na hao wengine sabufa za spika kwahiyo heading isomeke Ridhiwani alahani mahandamano ya CDM
 
UVCCM: Umoja wa Vijana wa Chama cha Mafisadi. Hongereni kwa tamko lililokosa mashiko. Shetani ataendelea kuwapigania daima ili mwisho wenu uwe mbaya.
 


Huyo kaperekwa huko kijijini akapumzike mambo ya town atuachie sisi
 

Angalia walivyokaa, utadhani wamejinyea!! Wanaujua ukweli,na bahati mbaya kwao ni kwamba wakati tunadili nao, baba zao watakua wameshatangulia mbele za haki...
 
Sipendi ccm wanavyoitumia picha ya baba wa taifa. Coz hawayatekelezi mawazo yake. Kifo chenu kinakuja.
 
hivi uvccm wote watoto wa vigogo?

kwa hio wao wanaona raha ss wanyonge tukiteseka ila wajue anguko lao limetimia
 
Huyo Beno si mjinga tu ni bwabwa la Riz 2
 
Nawaonea huruma kwani ni hatari sana kung'ang'ania kuwaongoza raia wasiokuwa na imani na wewe hata ufanye jema la aina gani. Wataisoma muda si mrefu.
 
Nape + Malisa + Ridhiwani+ UVCCM = Mnyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…