mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,151
- 3,066
Usiwalaumu sana, wanakula coz ya kua wapinzani.
Sio wao tu hata ccm yenyewe inaendeshwa kwa sera na ratiba za cdm,
Mifano ya haya ipo mingi :- Kuandaa katiba mpya ni moja kati ya sera
Za wapinzani ccm imedandia . Unaweza kuongezea nyingine .
kwa kweli inasikitisha kuona UVCCM wanatumia ujana na usomi wao katika kuhujumu mikutano ya dr.Slaa, isitoshe wenzao BAVICHA hawana habari ndio kwanza wapo kwenye kongamano la vijana ubungo plaza, hii picha inaenda utafiki vijana wa chadema ndio wamebeba utawala wa nchi kwa kuendesha makongamano yenye tija kwa taifa, kwa kweli nilisubili kusikia vijana wa CCM watafanya nini siku ya leo bila jibu, UVCCM wanatumika kama chambo kwenye kazi ambazo wakina nape wamezishindwa na sasa wanaonekana kama vijana wasiokuwa na vision bali wanaongozwa na matukio haswa ya CHADEMA, hawawezi wakaongelea mema ya CCM bali wanakesha kutafuta mabaya ya CHADEMA. BAVICHA endeleeni na hali yenu ya kulijali taifa kwanza na sio propaganda za magamba.
MMEANZA NA MUNGU MTAMALIZA NA MUNGU.
If you are not part of solution, you are part of the problem.Wote kundi la kukosa tu mnahangaikia kesho vyeo vya uteuzi!!!!!!!!!
Hakuna mwenye ajenda ya nchi ndani ya kifua chake wote mmeshiba siasa za ki chama na hakuna uzalendo wala mapinduzi ya kweli!!!!!!
Dhamira zenu zinashuhudia haya!!!!!
If you are not part of solution, you are part of the problem.
kwa kweli inasikitisha kuona UVCCM wanatumia ujana na usomi wao katika kuhujumu mikutano ya dr.Slaa, isitoshe wenzao BAVICHA hawana habari ndio kwanza wapo kwenye kongamano la vijana ubungo plaza, hii picha inaenda utafiki vijana wa chadema ndio wamebeba utawala wa nchi kwa kuendesha makongamano yenye tija kwa taifa, kwa kweli nilisubili kusikia vijana wa CCM watafanya nini siku ya leo bila jibu, UVCCM wanatumika kama chambo kwenye kazi ambazo wakina nape wamezishindwa na sasa wanaonekana kama vijana wasiokuwa na vision bali wanaongozwa na matukio haswa ya CHADEMA, hawawezi wakaongelea mema ya CCM bali wanakesha kutafuta mabaya ya CHADEMA. BAVICHA endeleeni na hali yenu ya kulijali taifa kwanza na sio propaganda za magamba.
MMEANZA NA MUNGU MTAMALIZA NA MUNGU.
mgeni rasmi wa kongamano la bavicha ni mbowe mwenye division zero kwa akili ya kawaida unadhani kuna cha maana ambacho mr zero anaweza ongea!!! akili ndogo kuongoza akili kubwa!!!

BAVICHA NDIYO TAASISI PEKEE YA VIJANA YENYE MAONO , EAST AND CENTRAL africa , UKIBAHATIKA KUISIKIA UVCCM BASI BILA SHAKA ITAKUWA NI NGUMI KUHUSIANA NA MGAO WA POSHO !