Kila ninaposikia wanapotosha sioni mkiusema ukweli wa huo mkataba. Onyeseni ,Kwa mfano mkataba una ukomo, nimiaka mingapi. Hawatalipa kodi, kwamba ni uongo serikali haitatoa taarifa Kwa dp ikiwa inataka kufanya shughuli yeyote ktika maeneo ya bandari zetu na wakubali. Kwamba ni uongo mkataba huu hautavunjwa Kwa sababu yeyote Ile Kwa pande zote mbili!njoni na kilicho kinyume na hayo