UVCCM: Rushwa bado ni tatizo kubwa mno.

UVCCM: Rushwa bado ni tatizo kubwa mno.

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,450
Reaction score
32,291
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umesema kuwa licha ya sifa nyingi anazozipata Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli lakini bado tatizo la rushwa lipo. Kutokana na tatizo hilo, Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Mbeya na Songwe, Aman Kajuna amemtaka Rais Magufuli kutumia nguvu kubwa kutokomeza tatizo hilo ambalo limekuwa ni sugu. Kajuna ambaye aliongozana na mwenyekiti mwenzake wa mkoa wa Kagera, Yahaya Katema walikuwa wakizungumza kwa niaba ya wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM na walimsifu Rais kuwa amekuwa kiongozi wa mfano
 
Kiongozi wa mfano kwenye kutoa rushwa.
Alianza na wabunge anaendelea kuwanunua madimoja.
 
Ccm mpaka wabunge wenu mnawahonga
 
Kwani Magufuli alishasema rushwa si tatizo? Hata yeye anajua rushwa ni tatizo kwa wananchi ila ni halali kwa ccm.
 
Kiongozi wa mfano kwenye kutoa rushwa.
Alianza na wabunge anaendelea kuwanunua madimoja.

Hapa mkuu ndipo nnapojiuliza sio mbaya nao wakitetea matumbo yao.
 
Back
Top Bottom