UVCCM ni mzigo na hasara kwa taifa

UVCCM ni mzigo na hasara kwa taifa

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
Duniani kote vijana wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja na kufikiri sahihi ndio wamekuwa msaada mkubwa sana kwa mataifa yao.

Marakadhaa vijana wamekuwa mstari wa mbele kupinga aina yeyote ya ukandamizaji na uvunjwaji wa katiba za nchi zao jambo ambalo lisipokemewa linaweza kupelekea uvunjifu wa amani kwa nchi zao.

Hivi karibu kumekuwa na tabia mbaya isiyoweza kuvumilika na mtu yeyote yule mpenda haki na usawa katika taifa lake, miezi michache iliyopita Serikali ya Ccm chini ya Raisi Magufuli imepiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa, lakini katazo hilo linaonekana limelenga zaidi vyama vya upinzani na Mabara yake,ile hali Ccm na mabara yao ya vijana,wazee na wanawake wanaendelea kufanya mikutano ya hadhara na vikao vya ndani.

Ni kukosa haya kwa kiongozi kama Shaka A Shaka Kaimu Katibu wa UVCCM taifa,kukana kuwa hajawahi kufanya mikutano ya hadhara, ile hali amefanya hivyo Katavi,Tabora,Bagamoyo na kwingineko .

Hoja ya Shaka kuwa vyama vya upinzani na Mabaraza yake wanashindwa kufanya vikao vya ndani kwa kuwa hawana ofisi ni hoja dhaifu na niyamtu alievimbiwa madaraka, anatakiwa kujua kikao cha ndani sio lazima kifanyike katika ofisi ya chama husika na kama tafsiri yake ya vikao vya ndani inamtuma ni katika ofisi tu , wanaojua maana ya vikao vya ndani wanapata picha pana ya uwezo wa akili yake ilivyo ndogo na nafasi aliyonayo kisiasa.

Katika mazungumzo yake shaka amegusia mikutano ya hadhara kuzuiliwa kwamba anaunga Mkono na akatolea mfano wa nchi kama marekani, hii pia ni dalili nyingine ya uvimbe kwenye ubongo alionao Shaka, maana amesahau kabisa kuwa Katiba ya nchi yetu na sheria ya vyama vya siasa inaruhusu vyama vya siasa kufanya siasa wakati wote bila kuzuiliwa.

Aina hii ya vijana wasiojua misingi ya sheria na utawala bora ni hatari kubwa sana kwa taifa, vijana tunanafasi kubwa sana kulitumikia taifa hivyo ni vyema tukasimama imara kusimamia katiba ili kuandaa nchi itakayoongozwa kwa kufuata Katiba.

Imetolewa na,

*Edward Simbeye*
Katibu Mwenezi *BAVICHA* Taifa.
 
Ha!ha! BAVICHA hawaeleweki hata wako wapi Masikini hata Frame ya sh.50,000 iwe kama ofisi imewashinda kudadeki.
 
Mzigo ni bavicha mlioridhia fisadi Papa ambalo chadema lilitangaza kuwa ni fisadi Papa Na mkaliweka website ya chadema na kulitangaza fisadi miaka 20 ghafla mkalilamba miguu na kulipa ugombea uraisi. Nyooo nyie Ndio mizigo shenzi type

ndo hayo jamaa anaongea nyie mizigo umeandika nini sasa unamkamata Seth na lugemarila unamwacha lowasa wakat mnajua fisadi hizo akili au matope?
 
Subiri Time will no stone will be left unturned
 
Duniani kote vijana wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja na kufikiri sahihi ndio wamekuwa msaada mkubwa sana kwa mataifa yao.

Marakadhaa vijana wamekuwa mstari wa mbele kupinga aina yeyote ya ukandamizaji na uvunjwaji wa katiba za nchi zao jambo ambalo lisipokemewa linaweza kupelekea uvunjifu wa amani kwa nchi zao.

Hivi karibu kumekuwa na tabia mbaya isiyoweza kuvumilika na mtu yeyote yule mpenda haki na usawa katika taifa lake, miezi michache iliyopita Serikali ya Ccm chini ya Raisi Magufuli imepiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa, lakini katazo hilo linaonekana limelenga zaidi vyama vya upinzani na Mabara yake,ile hali Ccm na mabara yao ya vijana,wazee na wanawake wanaendelea kufanya mikutano ya hadhara na vikao vya ndani.

Ni kukosa haya kwa kiongozi kama Shaka A Shaka Kaimu Katibu wa UVCCM taifa,kukana kuwa hajawahi kufanya mikutano ya hadhara, ile hali amefanya hivyo Katavi,Tabora,Bagamoyo na kwingineko .

Hoja ya Shaka kuwa vyama vya upinzani na Mabaraza yake wanashindwa kufanya vikao vya ndani kwa kuwa hawana ofisi ni hoja dhaifu na niyamtu alievimbiwa madaraka, anatakiwa kujua kikao cha ndani sio lazima kifanyike katika ofisi ya chama husika na kama tafsiri yake ya vikao vya ndani inamtuma ni katika ofisi tu , wanaojua maana ya vikao vya ndani wanapata picha pana ya uwezo wa akili yake ilivyo ndogo na nafasi aliyonayo kisiasa.

Katika mazungumzo yake shaka amegusia mikutano ya hadhara kuzuiliwa kwamba anaunga Mkono na akatolea mfano wa nchi kama marekani, hii pia ni dalili nyingine ya uvimbe kwenye ubongo alionao Shaka, maana amesahau kabisa kuwa Katiba ya nchi yetu na sheria ya vyama vya siasa inaruhusu vyama vya siasa kufanya siasa wakati wote bila kuzuiliwa.

Aina hii ya vijana wasiojua misingi ya sheria na utawala bora ni hatari kubwa sana kwa taifa, vijana tunanafasi kubwa sana kulitumikia taifa hivyo ni vyema tukasimama imara kusimamia katiba ili kuandaa nchi itakayoongozwa kwa kufuata Katiba.

Imetolewa na,

*Edward Simbeye*
Katibu Mwenezi *BAVICHA* Taifa.
Kwani huko bavicha kunanini zaidi ya kushabikia ujinga tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio UVCCM tu hata chama chao mama nacho ni matatizo.....
wazee wao ni watu ovyo kabisa, lakini sio kesi WAPUUZI nao WATU.
 
Subiri Time will no stone will be left unturned

ushaanza lamli chonganishi sasa Mzee wako Wa chama singida anatangaza hakubaliani na ubinafsishaji na mbinafsishaji kasema yeye yupo chamani hadi kifo ungeilewa mada ungekaa kimya tu aanze na muuza mashirika ya umma na viwanda alivyowapa watu wamegeuza mazizi ya mbuzi
 
Hahahahahaaa this is what we call life hatuwez wote kuwa sawa tuwe na mawazo sawa hushangai Humphrey polepole aliypendekeza katiba Leo maana ccm na ni mpinzan Wa ukawa
Tumeumbwa tofauti katika kila idara ili tuwe tofaut tukio unaweza liona la kusikitisha lakin kuna watu wakalipigia makofi tena wenye akili usilazimishe kila MTU awe kama wewe.
Dah mkuu unataka watu wote wawe chadema yaani dah sijui nisemeje, you are dreaming. Hata mm et niwe chadema dah haupo serious mkuu
Achana na ndoto tuje katika real life Leo hii itokee ajali washuhudie watu 100 alaf wale watu wahadithie ile ajali zitakjja stori hamsini tofauti
Hii Ina maana watu wamepewa macho tofauti na maono tofauti katika matukio so ni hivyo upande wangu chadema nawaona matapeli ingawa wewe unawaona wakomboz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu Mwl angatuke madarakani ccm haijawahi kuwa na kijana mwnye akili. Ndio maana tunapata viongozi reject. Huwezi kuwa kiongozi wa maana kwa kufikiria kwa kutumia tumbo. Vijana wote wa ccm kwa sasa wanafikiri kwa kutumia tumbo tu na wengine wanatumia alichosema masaburi
 
Back
Top Bottom