UVCCM mwendo wa kuchapana kama CUF enzi hizo... Sasa ni Mara

Hayo ni matokeo ya mbegu chafu za rushwa katika chama cha ccm na seikaili yao.uchaguzi wa ccm katika wilaya zote za mkoa wa mara zilijaa rushwa na wote walioshinda ni kwa kuzidiana fedha.kabla ya uchaguzi huo ambao mwishoni walidundana mjumbe wa nec tarime ailisema anatamani vijana kwenye uchaguzi wa 2015 wavute bangi ili kulinba ushindi wa ccm!kwanza huenda waklianza kufanyia kazi maneno yake pale pale na pili kama huyu ndiye mlezi wa vijana unatarajia nini?ushauri wangu ni kwa vijana kujiunga chadema na wale wakaobaki ccm ama wamevaa miwani ya mbao au masikio yao wameweka pamba.je kuna anayebisha juu ya kwamba ccm ni chama cha rushwa na wakubwa.angalia walioshinda kwenye chaguzi hizi zinazoendelea cc
 
Nikifikiria jeshi la vijana litakalokuwa CDM 2015, nashindwa kuona hao magamba kiduchu watafanya nini hata wakivutishwa bangi. Wakilianzisha wao ndio watakuwa wahanga.
 
UVCCM-wapeana-kichapo-laivu.png
 
Back
Top Bottom