UVCCM MBEYA inavyo mchafua SUGU

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,723
10,227
Madai ya kuwa Sugu ametembea na Shyrose ni mkakati halisi uliofanywa na UVCCM mkoa wa Mbeya ili kumchafua MBUNGE huyo wa Mbeya Mjini.
Jafari, alipewa fedha taslimu sh. Mil. 5 na wakereketwa wa CCM alipokuwa mkoani hapa kama downpayment, na baadae akaahidiwa sh. Mil5 nyingine baada ya kutimiza adhma yake hiyo.
Pia kuna fungu ambalo wana CCm mkoani hapa wamelitenga kwa ajili ya kuyahonga magazeti ya udaku ili kulipa uzito sakata hilo la kijinga ili Sugu apoteze imani kwa wananchi wake walio mchagua.
 
Source ni muhimu kabla hatuja hitimisha hii ni crap!
 
Nina simu ya mkononi ya Sylvester Kikungwe katibu mkuu wa CCm mkoa, ambayo tuliiba kwa ajili ya uthitisho wa taarifa hizi.
Msg nyingi za ushahidi zipo kwenye inbox na sent items
 
Madai ya kuwa Sugu ametembea na Shyrose ni mkakati halisi uliofanywa na UVCCM mkoa wa Mbeya ili kumchafua MBUNGE huyo wa Mbeya Mjini.
Jafari, alipewa fedha taslimu sh. Mil. 5 na wakereketwa wa CCM alipokuwa mkoani hapa kama downpayment, na baadae akaahidiwa sh. Mil5 nyingine baada ya kutimiza adhma yake hiyo.
Pia kuna fungu ambalo wana CCm mkoani hapa wamelitenga kwa ajili ya kuyahonga magazeti ya udaku ili kulipa uzito sakata hilo la kijinga ili Sugu apoteze imani kwa wananchi wake walio mchagua.

source: udaku
 
Hata kama amemchanyata itakuwa ni kwa makubaliano. Sijawahi kusikia sugu amebaka. Kwa hiyo sioni tatizo hapo. Huyo jafarai anatakiwa ajiulize ni kwa nini ametoswa? Labda ana matatizo....you never know!
 
Kumbe we ni jizi, kweli kazi tunayo
Nina simu ya mkononi ya Sylvester Kikungwe katibu mkuu wa CCm mkoa, ambayo tuliiba kwa ajili ya uthitisho wa taarifa hizi.
Msg nyingi za ushahidi zipo kwenye inbox na sent items
 
Nina simu ya mkononi ya Sylvester Kikungwe katibu mkuu wa CCm mkoa, ambayo tuliiba kwa ajili ya uthitisho wa taarifa hizi.
Msg nyingi za ushahidi zipo kwenye inbox na sent items

Aisiiii!! hebu toa hizo msg tuzisome... Kwa ccm kila uovu unawezekana.. Shyrose nae kapewa nini? Unataka kusema Sugu hamchukui Shyrose kweli?:roll:
 
Hakuna asiyejua kwamba gogoro dhidi ya Mr II ni 'Mradi wa Malaria Haikubaliki Tanzania'. Ila tu kinachotatiza ni kule kunyang'anywa mtu tonge mdomoni na tena uendelee kukashifiwa.

Lakini, bila kujijua, mtu yeyote na au taasisi zinazotumia rasilmali nyingi kutafuta kumdhalilisha Mr Sungu wanasaidia sana kumtangaza zaidi mtu huyu; kujulikana zaidi, kupendeka zaidi na kumfanya awe mbunifu zaidi kuleta miradi mingine mikubwa zaidi itakayotuletea ajira Watanzania.

Kwa kuhitimisha tu; busara zinatueleza kwamba mtu ambaye sura hubadilika pindi chakula kinapofika mezani siku zote ukungu wa chakula kilichoivya tayari una uzito mkubwa sana wa kumzuia asiweze kuruhusu ubunifu zaidi kupatikana kwa chakula cha hapo kesho.

Mhe Kibonde na CCM Vijana kamwe msisahau kumendea Mr Sugu kupitia malipo ya matangazo haya ambayo mnamfanyia hadi hivi leo.
 
wamwambie jafarai...kumegewa jambo moja kukimbia jambo jingine.....SUGU kachukua mzigo...atulie tu..asiwe km s****
 
Back
Top Bottom