Hapo kwenye Red ndipo paliponifanya nione habari hii ni Uzushi. Jamaa hana sifa wala uwezo huo.UONGOZI wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi, (UVCCM), uko hatarini kuvunjwa kwa madai ya kuwa chanzo cha migogoro ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
Duru za siasa kutoka ndani ya CCM, zilisema kuwa hoja ya kutaka umoja huo uvunjwe iko mezani kwa Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete, ambaye kwa kutumia kanuni na vikao vya chama, ndiye mwenye uwezo wa kufanya maamuzi hayo mazito.
Habari hizo zinasema kuwa Rais Kikwete amekasirishwa na mzozo wa UVCCM ambao safari hii umefika mahala unaihusisha familia yake. Mmoja wa makada wa chama hicho, aliliambia gazeti hili kuwa kwa sasa umoja huo haukisaidii chama badala yake umekuwa chanzo cha migogoro kwa kutumiwa na makundi yanayowania urais mwaka 2015.
Ni kweli hauna msaada nakumbuka walipokutana Pwani chini ya Riziwani walisema ni zamu yao kula.Acha waivunje tu haina msaada wowote kwa vijana watanzania zaidi ya kuchumia matumbo yao na sasa wako busy kujitengenezea mrija wa 2015. Kama hata Livingstone Lusinde alipitia huo umoja na ukilaza ule unategemea kuna taasisi hapo? Tena wasipoivunja itavunjika yenyewe. UVCCM SUCKS...
UONGOZI wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi, (UVCCM), uko hatarini kuvunjwa kwa madai ya kuwa chanzo cha migogoro ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
Duru za siasa kutoka ndani ya CCM, zilisema kuwa hoja ya kutaka umoja huo uvunjwe iko mezani kwa Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete, ambaye kwa kutumia kanuni na vikao vya chama, ndiye mwenye uwezo wa kufanya maamuzi hayo mazito.
Habari hizo zinasema kuwa Rais Kikwete amekasirishwa na mzozo wa UVCCM ambao safari hii umefika mahala unaihusisha familia yake. Mmoja wa makada wa chama hicho, aliliambia gazeti hili kuwa kwa sasa umoja huo haukisaidii chama badala yake umekuwa chanzo cha migogoro kwa kutumiwa na makundi yanayowania urais mwaka 2015.
una maana huyu wa sasa au ajaye?M/kiti ana nafasi kubwa sana ya kuyaunganisha haya makundi kwa sababu kila kundi linamsifu yeye na kusema wazi kuwa linamuunga mkono 100% akiamua kuondoa mgogoro huu m/kiti anaweza
Kuvunja Jumuhiya hii si suluhisho kabisa
Si kweli kuwa kila kundi linamsifu yeye wengine wanalazimika kuonekana weupe usoni lakini ukiwatizama moyoni ni weusi tii.M/kiti ana nafasi kubwa sana ya kuyaunganisha haya makundi kwa sababu kila kundi linamsifu yeye na kusema wazi kuwa linamuunga mkono 100% akiamua kuondoa mgogoro huu m/kiti anaweza
Kuvunja Jumuhiya hii si suluhisho kabisa
mkuu hata hao vijana wa chadema wote ni wachumia tumbo tu. hakuna la ziada. Tanzania tunahitaji mabadiliko ya kifkira zaidi kuliko hata ya kichama na hata katiba.Acha waivunje tu haina msaada wowote kwa vijana watanzania zaidi ya kuchumia matumbo yao na sasa wako busy kujitengenezea mrija wa 2015. Kama hata Livingstone Lusinde alipitia huo umoja na ukilaza ule unategemea kuna taasisi hapo? Tena wasipoivunja itavunjika yenyewe. UVCCM SUCKS...
Riziwan at work