TUNAHITAJI UWEKEZAJI KWENYE BANDARI, ILI UFANISI UONGEZEKE, TUINUE UCHUMI, TUTOE AJIRA ZA KUTOSHA, TUSOMESHE WANAFUNZI WENGI, NA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA HUDUMA ZA JAMII.Naamini kila Mtanzania ana haki ya kuhoji mustakabali wa maendeleo ya kila nyanja katika nchi yetu ya Tanzania.
Kwa mfano: suala la Bandari hivi sasa linazungumzwa karibu na kila Mtanzania,wapo wanaokosoa na wapo ambao wanaona ni sawa Tanzania inahitaji kuingia ubia na Kampuni husika.
Kuna mijadala mingi sana Mitandaoni ambayo inaendelea, lakini nataka niongee kwa upande wa UVCCM ambao ni vijana wa chama cha Mapinduzi.
Hawa vijana baadhi yao wamekuwa vinara kwenye kuzungumza juu ya uhalali wa Tanzania kuingia makubaliano na kampuni ya DP World.
Kwanza,naomba niseme sio kosa kwa vijana wa UVCCM kuunga mkono hata kidogo!
Lakini cha kushangaza ni pale ambapo wanaposhindwa kuieleza jamii manufaa ya kuingia ubia na kampuni hiyo,badala ya kujenga hoja ili iwe ni msaada kwa serikali kuielimisha jamii wao wanashindwa kutetea hoja.
Kwa mfano nimeona wengi wanawauliza swali hili 👇
“Mnasema kuna nchi zimefaidika kama Rwanda na Somalia,je wamenufaika vipi na kabla ya hapo ilikuwaje?
Swali jingine ni Kama ni mkataba mbona wananchi hawakuwa na taarifa wala wabunge?
Swali jingine 👉 tuambieni kifungu gani ambacho kimegusa ushirikiano wa wawekezaji na wananchi ambao watahitaji ajira.
Sasa wanapobandikwa maswali wanashikwa na hasira,kiasi ambacho unahisi huenda huyu mwana UVCCM haelewi kuhusu mambo ya uchumi,au hata hayo makubaliano hakupata kuyasoma ndipo ajimwage Mitandaoni.
Unaweza kuona ni kwanamna gani ambavyo mwana UVCCM kwenye majibizano anajigamba kwamba hata iweje mambo yataenda tu 😢
Kwa maoni yangu ni kwamba hao vijana wasaidiwe namna bora ya kuweza kupambanua masuala mazito ambayo yanagusa mtima wa kila mwananchi.
Kwanza wasome vizuri kama ni mikataba au makubaliano,waelewe kabla ya kutoka hadharani,inakuwa kichekesho kwamba maswali mengine yanajibika wanayobishana Mitandaoni na vijana wenzao wa vyama vingine au wananchi wengine ambao wana mitazamo tofauti.
Kwamba hawa wanatakiwa kutafakari kwanza wakae wakijua kwamba Tanzania kuna Vichwa ambavyo vina uelewa mkubwa sana.
👉 Mwisho kabisa mimi sio mwanachama wa chama chochote na similiki kadi yoyote wala Kura sijawahi kupiga tangu nizaliwe ila ni mdau wa maendeleo tu basi.
Ahsante
Kwan ni lini walikua timamu?Naamini kila Mtanzania ana haki ya kuhoji mustakabali wa maendeleo ya kila nyanja katika nchi yetu ya Tanzania.

Akili kama hii inayowaza kula yake ya leo, isiyofikilia miaka 20,50 hata 100 ijayo unategemea nin, kazi unafiki, ubinafsi na njaa. Kweli akili ni nywele na kuna watu wanajiita wasomi ila niusomi wa vyeti na hauna maarifa kabisa. Jenga hoja fuatilia jambo na jibu hoja, siyo kwa huu ujinga ujinga.TUNAHITAJI UWEKEZAJI KWENYE BANDARI, ILI UFANISI UONGEZEKE, TUINUE UCHUMI, TUTOE AJIRA ZA KUTOSHA, TUSOMESHE WANAFUNZI WENGI, NA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA HUDUMA ZA JAMII.
UWEKEZAJII HUUU NI MUHIMU SAANA ACHENI KUJIPA UJUAJI WA KIZAMANII.
Uwekezaji ni sera ya ulimwenguni kote. Sharti mwekezaji apate faida na mwenyeji apate faida. Acheni KUJIPA UJUAJI uchwaraaa. Huuu uwekezaji ni WA faida kubwaa zaidiii. Hakuna madhara yoyote acheni kutapelii watuuu. TumeshawagunduaAkili kama hii inayowaza kula yake ya leo, isiyofikilia miaka 20,50 hata 100 ijayo unategemea nin, kazi unafiki, ubinafsi na njaa. Kweli akili ni nywele na kuna watu wanajiita wasomi ila niusomi wa vyeti na hauna maarifa kabisa. Jenga hoja fuatilia jambo na jibu hoja, siyo kwa huu ujinga ujinga.
Samahan lakin, una elimu gani mkuu.Uwekezaji ni sera ya ulimwenguni kote. Sharti mwekezaji apate faida na mwenyeji apate faida. Acheni KUJIPA UJUAJI uchwaraaa. Huuu uwekezaji ni WA faida kubwaa zaidiii. Hakuna madhara yoyote acheni kutapelii watuuu. Tumeshawagundua
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Bila shaka Lucas mwashambwa na Mkunazi Njiwa ni sehemu ya jumuiya.
Elimu ulionayo wewe imekusaidia Nini. Ebu kaeni kimyaa msiharibu uwekezaji. Bandari lazima iwekezwe ili kuboresha UFANISI na kukuza uchumi. Acheni kerere yaaani hasara iliyopo pale tuendelee tuuu, haiwezekani lazima tuwekeze Kwa wengine ilikuboreshaa ufani na Pato la nchii. Kaeni kimyaaa KUJIPA UJUAJI usio na tijaaSamahan lakin, una elimu gani mkuu.
Ha ha ha haaaa basi sawa mkuu., ila time will tel.Elimu ulionayo wewe imekusaidia Nini. Ebu kaeni kimyaa msiharibu uwekezaji. Bandari lazima iwekezwe ili kuboresha UFANISI na kukuza uchumi. Acheni kerere yaaani hasara iliyopo pale tuendelee tuuu, haiwezekani lazima tuwekeze Kwa wengine ilikuboreshaa ufani na Pato la nchii. Kaeni kimyaaa KUJIPA UJUAJI usio na tijaa
Toeni propaganda za kijingaaa. Mnajipa ujuajiii. Ebu tokeniiiHa ha ha haaaa basi sawa mkuu., ila time will tel.
Akili akili akili.,
Akili akili akili., kuwa nayo hata kidogo jombaa maana daahaToeni propaganda za kijingaaa. Mnajipa ujuajiii. Ebu tokeniii