UVCCM Kufanya Matembezi Ya Kuenzi Fikra Za Mwl NYERERE

Sudysoko

JF-Expert Member
Aug 19, 2015
449
180
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi(UVCCM) ukiongozwa na Mwenyekiti wake wa Tanzania Kijana Kheri D James siku ya Jumamosi tarehe 13/10/2018 wamejiandaa kufanya Matembezi makubwa ya Kuenzi Fikra za Mwl Julius Kambarage Nyerere.

Haya ni matembezi ya Amani yenye lengo la kumuenzi Baba/Babu wa Taifa hili Mwl Nyerere hivyo nimetamani sana na niwaombe Vijana kutoka Vyama vingine vya Siasa kuungana nao Vijana wenzenu katika hili lenye kuleta kumbukumbu Chanya+ ya yale aliyokuwa anayaishi Mwl Nyerere na wakati huu Rais Dkt Magufuli anavyojaribu kufuata Fikra hizi za Mwalimu(Baba wa Taifa) na kuziishi.

NB; Kuna jambo la kujifunza kwa Vijana wa Vyama Vingine.
IMG_7773.JPG

e88c0913-b197-4dcf-ae78-a80c920f74c7.jpg
 
Upuuzi wa hali ya juu kabisa. Ni fikra gani hizo wanazienzi? Hivi wanaona ulaghai unao fanywa na baba zao ccm kuhusu hii kitu inaitwa kuunga mkono juhudi na hawatolei tamko LA kupinga!
Mwalimu alisisitiza kuwa na vijana wenye ujasiri wa kukemea ujinga na sio unafiki na kulamba miguu
 
Toa kabisa nguzo zako chafu nje mkuu maana povu lao watakalokuja nalo hapa lazima zitatakata bila hata kuzisugua.
 
Upuuzi wa hali ya juu kabisa. Ni fikra gani hizo wanazienzi? Hivi wanaona ulaghai unao fanywa na baba zao ccm kuhusu hii kitu inaitwa kuunga mkono juhudi na hawatolei tamko LA kupinga!
Mwalimu alisisitiza kuwa na vijana wenye ujasiri wa kukemea ujinga na sio unafiki na kulamba miguu
Kuan klipu ya video ambayo Mwl anawaasa vijana kuacha ukondoo! Mwenye nayo anaweza kuwapakulia hapa wakati wanajiandaa na maandamano hayo ili wazingatie fikira za Mwalimu.
 
Upuuzi wa hali ya juu kabisa. Ni fikra gani hizo wanazienzi? Hivi wanaona ulaghai unao fanywa na baba zao ccm kuhusu hii kitu inaitwa kuunga mkono juhudi na hawatolei tamko LA kupinga!
Mwalimu alisisitiza kuwa na vijana wenye ujasiri wa kukemea ujinga na sio unafiki na kulamba miguu

Jitahidi kupongeza hata kwa kidogo kilichopo
 
Suala sio kuzienzi tu suala ni namna ya kuzienzi, kwani lazima uzienzi kwa kutembea?
Anyway, hiyo method ni sensitive, inabeba hisia za watu, ok! tukimaliza kutembea what's next kwenye kumuenzi baba wa taifa?
 
Mana moja kati ya fikra zake kama sijakosea ni kuheshimu nguvu ya uma!! Ila mambo yamekuwa sio mambo tena eeh!!
 
Suala sio kuzienzi tu suala ni namna ya kuzienzi, kwani lazima uzienzi kwa kutembea?
Anyway, hiyo method ni sensitive, inabeba hisia za watu, ok! tukimaliza kutembea what's next kwenye kumuenzi baba wa taifa?

Kuishi katika Fikra zake.
 
Back
Top Bottom