J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,619 Aug 23, 2016 #81 Nadhani UVCCM wataandamana Zanzibar anakoishi chairman na Katibu wao,huoni hata UBUNIFU wao ni wa kizenjizenji
Nadhani UVCCM wataandamana Zanzibar anakoishi chairman na Katibu wao,huoni hata UBUNIFU wao ni wa kizenjizenji
Mr Hero JF-Expert Member Joined Jun 11, 2015 Posts 5,540 Reaction score 7,464 Aug 23, 2016 #82 Katika makundi yenye wajinga wengi, hili group linaitwa UVCCM nadhani ujinga wao upo kiwango cha zaidi ya grade A+
Katika makundi yenye wajinga wengi, hili group linaitwa UVCCM nadhani ujinga wao upo kiwango cha zaidi ya grade A+
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 374,470 Reaction score 867,170 Aug 24, 2016 #83 -hawahoji -hawatafakari -hawafuati utaratibu -hawafuati katiba -ni (wapayukaji?) -ni waigizaji Kuna haja gani ya kutangaza maandamano eti ya kumpongeza fulani kipindi hiki?
-hawahoji -hawatafakari -hawafuati utaratibu -hawafuati katiba -ni (wapayukaji?) -ni waigizaji Kuna haja gani ya kutangaza maandamano eti ya kumpongeza fulani kipindi hiki?
poppah JF-Expert Member Joined Dec 19, 2014 Posts 630 Reaction score 548 Aug 24, 2016 #84 Duh ngoja waje