PreGE2025 UVCCM: Hatuhusiki na Msiba wa CHADEMA

PreGE2025 UVCCM: Hatuhusiki na Msiba wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,490
Reaction score
2,175
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida amezungumza kuhusu vuguvugu la vyama vinavyofungiwa na kuzuiwa kutokana na siasa zao, akisisitiza kuwa Chama Cha Mapinduzi hakihusiki na zuio hilo bali kimejipanga kuhakikisha kinashinda katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

Ameyasema hayo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Inyonga, MIele katika ziara ya Siku Saba za Kibabe itakayofanyika katika Mikoa ya Katavi, Rukwa na Songwe kuanzia tarehe11 - 17 Juni 2025.

Chanzo: Jambo Tv
 
Bado siku 13 Chadema itoke Lupango

Viva Chadema No Reform's No Elections
 
Mchawi na muovu kunapotokeaga ubaya anakua wakwanza kujitetea na hitumia muda mwingi tu
 
Utashiriki wa mamako kabla ya October - bata wee

No reforms no election
 
Back
Top Bottom