DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
TAARIFA KWA UMMA TUPUUZE UPOTOSHAJI HUU Umoja Wa Vijana Chama Cha Mapinduzi mkoa Wa Geita haujatoa taarifa yoyote kuhusu hili jambo, ni watu wachache wasioitakia mema jumuiya yetu pamoja na amani ya Nchi yetu.
Barua hiyo ambayo ilikuwa imelekeza vyombo vya ulinzi na usalama kuwa ndani saa 24 apatikane mwenyekiti wao Ndugu Manjale Magambo aliyetekwa.
Barua hiyo ambayo ilikuwa imelekeza vyombo vya ulinzi na usalama kuwa ndani saa 24 apatikane mwenyekiti wao Ndugu Manjale Magambo aliyetekwa.