PreGE2025 UVCCM Faris Buruhani aliyesema wakiwapoteza watu polisi wasiingilie kuwania ubunge Bukoba Vijijini

PreGE2025 UVCCM Faris Buruhani aliyesema wakiwapoteza watu polisi wasiingilie kuwania ubunge Bukoba Vijijini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Blessed Tajiri

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
221
Reaction score
659
Screenshot_20250628_213848_Instagram.jpg

Mwenyekiti wa UVCCM Faris Buruhani aliyesema wakiwapoteza watu polisi wasiingilie kuwania ubunge Bukoba Vijijini.

Kama ni 'mtu asiyejulikana' akiwa UVCCM unafikiri hali itakuwaje atakapokuwa mbunge? Si ndio atawapoteza wa kutosha aweke rekodi na viroba viokotwe vya kutosha huko kagera?

Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025

Tupatw kumbukizi ya kibabe;

 
Back
Top Bottom