UVCCM Arusha wamuonya Mbowe na CHADEMA

UVCCM Arusha wamuonya Mbowe na CHADEMA

aminangalo

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
974
Reaction score
190
Leo kwenye mkutano Wa hadhara kata ya Unga ltd mwenyekiti uvccm martin Munisi amemwonya Mbowe na chadema kuacha kuendeleza mikwara yao ya kila siku

2010 chadema walisema nchi hii haita tawalika mpaka Leo nchi inatawalika na maandamano ya m4c yaliishia kwa Mbowe na Lema kulamba pesa za m-pesa za wavuja jasho

Kama chadema wathubutu kuingia bara barani ile kauli ya pinda itumike kikamilifu wapigwe tuu maana ni wahuni na wababaishaji

Mbowe ni mwongo Kama shetani hapa Arusha kila akiitishaa maandamano huwa noma ikitokea anakimbia anawaachia vijana wenzetu noma wanakamatwa kupigwa risasi na kumizwa bure mfano nmc Mbowe na slaaa walisema tunakaa pale siku Saba massa sita kitendo cha polisi kufika nmc Mbowe alikimbia toka Arusha mjini mpaka Tengeru kwa Mtei baba mkwe wake

Baada ya mabomu sowetho serikali ilikataa mkutano Wa hadhara chadema wakalazimisha kufanya mkutano noma ilipotokea Mbowe na Lema walikacha pikipiki za vijana Wa Arusha na magari yalikamatwa na kupata usumbufu mkubwa Sana Wa kuzikomboa

Msikubali kudanganywa na hawa wahuni kwani hawana nia mzuri

Katiba haipo huku bara barani inapatikana mjengoni Dom. Kama nikuandamana wakaandamane kwenye jengo LA bunge LA katiba

Chadema na Mbowe ni watumishi Wa wakoloni na nia ya wajerumani nikurudi kututawala ndiyo maana wanawapa pesa siku sisi tukianza kuuana hapa wao watakimbilia huko kwa waliyo watuma

Tanzania niyetu sote tusikubali kugawanywa Arusha kwasasa hatudanganyiki tena Lema akija tena hapa mdaini zile machinga complex na zile Hosp.tatu aliahidi
 
Ebu tuwekee na kapicha tuone huo umati uliokuwa ukimsikiliza wakati akiyatamka hayo maneno, maana nasikia huko Arusha CCM wanafanya mikutano yao kwenye Virabu vya pombe ambako watu wamekusanyika kwa starehe zao kwani mkialika huwa hawaudhurii.
 
mbona hata kuandika kwenyewe ni shida? Hakuna alama za huandishi muundo hauna upatanisho, CCM sina hamu nayo, njooni mtoe Div 5 zenu huku jukwaan hatuztaki
Kwenye red wataalamu wa Lugha tunaita concordial Agreement au concord...watoto wa ccm hawajui
 
Hotuba za waCCM kwenye mikitano siku hizi hazitofautiani na za boko haram... kutisha tisha tuu...
 
Mbona kichekesho, ameingia siasa bila kutafuta weledi wa siasa, au kumuongelea MBOWE ndio kutampandisha chati? Apimane ubavu na BAVICHA wa hapo AR kwanza.
 
Mbona kichekesho, ameingia siasa bila kutafuta weledi wa siasa, au kumuongelea MBOWE ndio kutampandisha chati? Apimane ubavu na BAVICHA wa hapo AR kwanza.

Size yake ni Mbowe siyo bayavichaaa
 
LEMA aliahidi mengi ARUSHA sijui kwenye MDAHALO atasema nini safari hii.
 
LEMA aliahidi mengi ARUSHA sijui kwenye MDAHALO atasema nini safari hii.

Jk alituahidi sisi wakazi wa kigoma kuwa kigoma itakuwa ni Dubai ya tanzania,leo kiko wapi?aliwaahidi bukoba atawajengea uwanja wa ndege wa kimataifa pale kajunguti leo kiko wapi?aliahidi kununua meli mpya ktk ziwa victoria ya kwenda mwanza na bukoba leo kiko wapi?
 
Najua hapo tayari Munisi alikuwa ameshakunywa viroba vya kutosha
 
Back
Top Bottom