UVCCM Arusha walitaka Jeshi la Polisi limkamate Lema

Kila nafsi itaonja mauti! Kwa nini watu wahamaki kuambiwa watakufa?? Mimi nikiambiwa ntakufa ntashukuru sababu inanikumbusha kile Mungu ametuahidi KIFO
 
Lema anaonekana kama nabii flani hivi.Ngoja tushuhudie
 
Mwenyekiti wa Uvccm wilaya ya Arusha mjini Martin Munisi amelitaka jeshi la polisi kumkamata Mara moja mbunge wa jimbo la Arusha mjini Chadema God bless Lema kwa kitendo chake cha kusema Mh raisi atakufa kabla ya 2020 kama hatawasikuliza wao chadema Mwenyekiti Martin Munisi ameyasema hayo jioni hii wakati akihojiwa na Radio Sun Rise ya jijini Arusha

Eidha mwkt Munisi amelitaka jeshi la polisi kutoa ufafanuzi wa mikutano iliyokatazwa na inayotakiwa maana lema anafanya mikutano ya chadema na siyo mikutano ya mbunge mikutano ya mbunge hulenga kuzungumzia ahadi za mbunge alizotekeleza atakazotekeleza na kuhamasisha maendeleo ila kinyume chake Lema yeye anasema wananchi wataingia barabarani maana hali ni mbaya mara raisi takufa kabla ya 2020

haya ni maneno yasiyovumilika hata kidogo kwenye jamii iliyostaharabika nivizuri jeshi letu likamhoji lema kuhusu kumzushia au kutabiri kifo Kwa mwkt wetu wa chama taifa na na rais wetu .Nakwavile Lema hana agenda nalitaka jeshi la polisi kuzuia mikutano yake kama wasipozuia sidhani kama vijana wa ccm na wananchi wapenda nchi yao watakuwa tayari kuvumilia matusi ya lema kwa Mh rais, wetu mpendwa.

Chanzo: Muungwana
Kwanza poleni wana Arusha nasikia pale Makumira kuna binti kagegedwa mpaka kufa, kuhusu Lema kumhoji kwa kauli hiyo ni wendawazimu anayejua kifo cha mtu ni lini si polisi ni Mungu pekee, we angalia robo ya wote waliomtabiria Lowasaa kifo hatunao tena wengine wapo njiani, labda jeshi kwa kushirikiana na wananchi waaminio wamsihi Lema akatubu dhambi hiyo jumapili hii tena kwa dhati
 
Nchi ya ajabu sana hii. Wakati wa kampeni mwaka jana 2015 kuna viongozi wakubwa wa CCM walikuwa akipwayuka majukwaani kuwa Lowassa ni mgonjwa na kuwa atakufa mapema lakini hatukuona wakikamatwa na wengine bado wako hai ingawa wengine Mungu ameamua kuwachukua
 
kwan sheria mama ya nchi inaesmaje kuhusu kutabiriana vifo
 
Mwenyekiti wa Uvccm wilaya ya Arusha mjini Martin Munisi amelitaka jeshi la polisi kumkamata Mara moja mbunge wa jimbo la Arusha mjini Chadema God bless Lema kwa kitendo chake cha kusema Mh raisi atakufa kabla ya 2020 kama hatawasikuliza wao chadema Mwenyekiti Martin Munisi ameyasema hayo jioni hii wakati akihojiwa na Radio Sun Rise ya jijini Arusha

Eidha mwkt Munisi amelitaka jeshi la polisi kutoa ufafanuzi wa mikutano iliyokatazwa na inayotakiwa maana lema anafanya mikutano ya chadema na siyo mikutano ya mbunge mikutano ya mbunge hulenga kuzungumzia ahadi za mbunge alizotekeleza atakazotekeleza na kuhamasisha maendeleo ila kinyume chake Lema yeye anasema wananchi wataingia barabarani maana hali ni mbaya mara raisi takufa kabla ya 2020

haya ni maneno yasiyovumilika hata kidogo kwenye jamii iliyostaharabika nivizuri jeshi letu likamhoji lema kuhusu kumzushia au kutabiri kifo Kwa mwkt wetu wa chama taifa na na rais wetu .Nakwavile Lema hana agenda nalitaka jeshi la polisi kuzuia mikutano yake kama wasipozuia sidhani kama vijana wa ccm na wananchi wapenda nchi yao watakuwa tayari kuvumilia matusi ya lema kwa Mh rais, wetu mpendwa.

Chanzo: Muungwana

SIJUI ila kwa tafsiri yangu ni kuwa....Lema kasema ....atakufa.. ni kuwa atakufa kifo cha kisiasa yaani uchaguzi...
Sidhani kama alikuwa na maana nyingine.
 
Mimi nafikiri kuna mtu kamtuma akaseme hayo maneno ili watafute sababu ya kumkamata.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nacheka kw dharaauuu
Hizi siasa hazihitaji Hasira...
Hv nafasi za DCs bado zipo?
 
Back
Top Bottom