A alley omar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2013 Posts 277 Reaction score 37 Aug 22, 2013 #1 Wana Jf jamvini kumevamiwa na watoto wa fb lugha inayotumika baadhi ya michango katika uzi unapopitishwa ni mbaya kwakweli hatua inaweza kusaidia kuondosha hili tatizo maoni yenu ni muhimu sana ahsanteni
Wana Jf jamvini kumevamiwa na watoto wa fb lugha inayotumika baadhi ya michango katika uzi unapopitishwa ni mbaya kwakweli hatua inaweza kusaidia kuondosha hili tatizo maoni yenu ni muhimu sana ahsanteni
Mashaxizo JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 6,707 Reaction score 3,360 Aug 22, 2013 #2 Ilooo! Wewe Mwenyewe umevamia!