I ibanga JF-Expert Member Joined Sep 9, 2017 Posts 651 Reaction score 1,077 Apr 11, 2021 #1 Habari za asubuhi wakuu. Namuona mama samia suluhu kavaa barakoa sasa hivi akiwa Uganda
M Mailman JF-Expert Member Joined May 16, 2020 Posts 819 Reaction score 2,110 Apr 11, 2021 #2 Kwa hiyo?
Trimmer JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 2,678 Reaction score 4,550 Apr 11, 2021 #3 Jiandae kwa lockdown
Chupayamaji JF-Expert Member Joined Sep 19, 2017 Posts 5,780 Reaction score 13,684 Apr 11, 2021 #4 Ukiniona na mimi utasemaje?
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 45,751 Reaction score 55,787 Apr 11, 2021 #5 Yupo nje ya nchi yake.lazma afate wenyeji wake.
kukumsela JF-Expert Member Joined Oct 13, 2018 Posts 725 Reaction score 919 Apr 11, 2021 #6 Umeandika kama ulikuwa unakimbizwa?
Sister Abigail JF-Expert Member Joined Sep 2, 2020 Posts 3,374 Reaction score 10,409 Apr 11, 2021 #7 Anafuata taratibu za wenyeji. Ukiingia nyumbani ya watu fuata taratibu zao.ukirudi kwako fuata zako.