Uvaaji wangu umekuwa kichekesho

Piga mokasin,soksi za kitenge,kaptula ya blue,kikoi na kofia ya CCM.Hapo mchezo umeisha huongei mara 2.Ukipata na kapafyum ka cobra ndio kabisaaa.
 
Nikafikiri wanawake tuu ndio wanaokompliketi mavazi, kumbe hata wanaume!! Mh!
 
Kwani huwa unavaaje

Nadhani picha ingetusaidia kukushauri
 
Mwanaume unavaa ili uvutie wanawake.
 
Weka picha tuone umbo lako, then tukushauri jinsi ya kuvaa
 
TUSIPIK... "Toothpick"
Weka picha yako kwanza tujue jinsia na mwonekano wako.
Rahisi kusauri.

Naweza kushauri uvae kaptura kumbe una tusipik miguuni na kitambi, utaonekana kama samtreala limekata senta bolti.
 
hahahahahaha, Tyta.
 
Last edited by a moderator:
Piga mokasin,soksi za kitenge,kaptula ya blue,kikoi na kofia ya CCM.Hapo mchezo umeisha huongei mara 2.Ukipata na kapafyum ka cobra ndio kabisaaa.

asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…