Kifimbo1958
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 821
- 343
Wana JF wenzangu,
Naomba tupeane mawazo au mchango kuhusu uvaaje wa sare za chama. Nimeanzisha hii maada kutokana na wenzetu wa chama tawala CCM kuvaa sare kwenye shughuli ambazo sio za chama.
Mfano msiba wa kiongozi, sherehe ya kitaifa, uzinduzi wa kitu fulani ambacho ni cha kitaifa na sio chama au ya kidini ambayo haina uhusiano na chama.
Je ni halali mwanachama kuingia msibani au sherehe isiyohusu chama na jezi ya chama
Tuchangie kwa ustaarabu bila mhemko.
NAWASILISHA.