kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,tunauza zungura aina ya california kwa bei ya kuanzia elfu ishirini na tano(tsh.25000) kwa sungura wadogo na elfu thelathini (30000) kwa sungura wakubwa,tunapatikana maeneo ya kihonda morogoro mjini,kwa mawasiliano simu namba 0713957388.asanteni na karibuni