Uuuuuwiiiii

akilala mkono ukatoka nje ya shuka unaweza uukate panga ukifikiri mkia wa chatu
 
Mwenzenu anaona kaopoa mnamuonea wivu tu hapo.

Bible inaposema nitakupa wa kufanana naweza inamaanisha. Ukiona hujapenda ujue hamjafanana ubavu
 
RAY C ndo kaisha hivyo? kweli dawa za kulevya mbaya
 

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji85] [emoji85] [emoji85]


What, yaani Baby Madaha kawa hivi siku hizi?
 
Watuwanaolewa!!! [emoji350] [emoji350] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dah! ama kweli ukimwona kuku kwa mganga wa kienyeji ujue kaponzwa na rangi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…