Uunganiahaji Wa CCTV CAMERA kwenye simu za android au laptop kwa wireless.

Wakuu nmejitahd sana. Asa naashindw kujua itayotumika kma camera natumia app gan?! Na itayotumika kma computer natumia app gan?! Help m pls
 
Kwan mkuu simu kwa simu haiwezekani?!
INAWEZEKANA KABISA
Wala haihitaji makamera sijui,dvr wala waya
Ni Simu Zako Mbili Zenye Bando La Internet Tu...
Email Address Ndo Itaunganisha Simu Zako Hata Simu Moja Iwe USA na nyingine BONGO,utaona kinachoendelea kwenye kamera uliyoitega kupitia simu yako nyingine..
 
Kwan mkuu simu kwa simu haiwezekani?!
UNAZUNGUMZIA SIMU KWA SIMU ILI UWEZE KUFANYA REMOTE ACCESS BILA KUTUMIA VIFAA KAMA KUTUMIA VIFAA KAMA SYSTEM HILO PIA LINAWEZEKANA.

KWA KIFUPI UTA DOWNLOAD PROGRAM INAITWA TEAMVIEWER
KWENYE SIMU ZOTE MBILI LAKINI HAKIKISHA KWENYE SIMU ZAKO ZOTE MBILI UNA MEMORY CARD YA GB 4 .

UKISHAMALIZA KUDOWNLOAD TEAMVIEWER KWENYE SIMU YAKO UTAFANYA CONFIGURATIONS AU SETTINGS ILI UWEZE KU ENABLE REMOTE ACCESS KWENYE SIMU ZOTE MBILI.

UKISHAMALIZA WEKA BUNDLE HALAFU SIMU MOJA IWEKE KWENYE CENTRE POINT KAMA NI SEBULENI CHUMBANI NA HAKIKISHA DATA UMEWASHWA.

BAADA. YA HAPO ONDOKA KWENDA MBALI NA SIMU MOJA UKISHAMALIZA JUST LOGIN KUPITIA TEAMVIEWER ITAKUPELEKA KWENYE SYSTEM YA SIMU ULIOIACHA NYUMBANI

BAADA YA HAPO NENDA KWENYE CAMERA NA SELECT VIDEO KUFANYA SURVILENCE ILI KUJUA WHAT IS GOING ON AT HOME
 
Thank u so much my brother. Nmefanikiwa. SNA cha kukupa ila tu nashukuru kwa kunigawia weredi huu. JF.
 
UNAZUNGUMZIA SIMU KWA SIMU ILI UWEZE KUFANYA REMOTE ACCESS BILA KUTUMIA VIFAA KAMA KUTUMIA VIFAA KAMA SYSTEM HILO PIA LINAWEZEKANA.

KWA KIFUPI UTA DOWNLOAD PROGRAM INAITWA TEAMVIEWER
KWENYE SIMU ZOTE MBILI LAKINI HAKIKISHA KWENYE SIMU ZAKO ZOTE MBILI UNA MEMORY CARD YA GB 4 .

UKISHAMALIZA KUDOWNLOAD TEAMVIEWER KWENYE SIMU YAKO UTAFANYA CONFIGURATIONS AU SETTINGS ILI UWEZE KU ENABLE REMOTE ACCESS KWENYE SIMU ZOTE MBILI.

UKISHAMALIZA WEKA BUNDLE HALAFU SIMU MOJA IWEKE KWENYE CENTRE POINT KAMA NI SEBULENI CHUMBANI NA HAKIKISHA DATA UMEWASHWA.

BAADA. YA HAPO ONDOKA KWENDA MBALI NA SIMU MOJA UKISHAMALIZA JUST LOGIN KUPITIA TEAMVIEWER ITAKUPELEKA KWENYE SYSTEM YA SIMU ULIOIACHA NYUMBANI

BAADA YA HAPO NENDA KWENYE CAMERA NA SELECT VIDEO KUFANYA SURVILENCE ILI KUJUA WHAT IS GOING ON AT HOME
Nmeweza
 
Kwa kutumia simu. NI rahisi hapo una download program ya hki vision halafu una register information DVR yako pamoja na email na password badae uta login kwa username n password .

Ila kumbuka make sure una router connected to DVR kwa ajiri. Ya internet services

Mkuu ahsante kwa maelezo ila naomba uongeze nyama (details)
ili tukuelewe vizuri zaidi.
 
Mkuu una MAANA somo LA CCTV SECURITY UNGEPENDA KULIFAHAMU KWA KIFUPI ILI UJIFUNZE CCTV SECURITY SYSTEMS VITU VYA UMUHIMU KUFAHAMU AMBAVYO NI.....

1.KUUNGANISHA WIRE TOKA KWENYE CAMERA KWENDA KWA DVR AU NVR AMBAZO TUNAITA RECORDING DEVICE

2.KUUNGANISHA WIRE TOKA KWENYE DVR AU NVR KUPELEKA KWENYE MONITOR AU TV ILI KUWEZA KUANGALIA KUWEZA KUANGALIA VIDEO TOKA NJE KWENYE CAMERA.

3.KUUNGANISHA WIRE TOKA DVR AU NVR KWENDA KWENYE ROUTER KWA AJILI YA INTERNET SERVICES ILI UWEZE KUTUMIA SIMU AU LAPTOP HATA UKIWA MBALI UWEZE KUANGALIA VIDEO HATA UKIWA MBALI NA OFISI.

4.NA MWISHO UNATAKIWA KUFAHAMU KUDOWNLOAD APPLICATION YA EZYVIZ AU HKI VISION TOKA KWENYE PLAYSTORE YA SIMU YAKO

5.BAADA YA HAPO UNATAKIWA KUFAHAMU NI JINSI GANI YA KU REGISTER TAARIFA ILI UWEZE KUPATIWA USERNAME NA PASSWORD KWA AJILI YA KUFANYA LOGIN KWENYE SIMU AU PC ILI UFANYE REMOTE ACCESS KWA KIFUPI UMENIELEWA
 
Fanya ifuatavyo
Download IP webcam kwenye playstore
Kisha install na kuifanyia configaration
Then fungua hiyo app na u-start server
itaonesha IP address ya hiyo simu.

Note: Hiyo simu ndio itakayotumika kama server na ndio itakayokuwa ina monitor eneo husika

chukua simu yako nyingine au nenda kwenye computer yeyote ilimradi iwe na internet connection
then andika ile IP address ya kwenye sever itakupa uandike user name na PSW uliyo i-configure kwenye ile sever.
then utaanza kui-access ile server.
kwenye sim nyingine, ile IP address yako utaingiza wapi? au kweny app gani?
 
INAWEZEKANA KABISA
Wala haihitaji makamera sijui,dvr wala waya
Ni Simu Zako Mbili Zenye Bando La Internet Tu...
Email Address Ndo Itaunganisha Simu Zako Hata Simu Moja Iwe USA na nyingine BONGO,utaona kinachoendelea kwenye kamera uliyoitega kupitia simu yako nyingine..
Ebu nifundshe vzur hpo mkuu
 
kwenye sim nyingine, ile IP address yako utaingiza wapi? au kweny app gani?
Kwenye address bar ya browser unayo tumia, itakupa option ya kuandika user name na password uliyo i- configure kwenye ile simu ya wali.
 
Wadau mambo VP?!??nlshadodosewa kuwa wapo wataalamu Wa IT ambao wanauwezo kuunganisha simu kwa simu. Simu ya 1 ikatumika kma camera na sm ya 2 ikatumika kma computer. Na hii inaunganishwa bila kutumia waya 'wireless' mwenye uelewa na hii taaluma tafadhal Anisaidie.

Mungu awabaliki.

tick :D:D
 
Back
Top Bottom