Uundaji wa speakers, subwoofer boxes

Zingine hizi
 

Attachments

  • WP_20160928_006.jpg
    118.2 KB · Views: 137
Kwenye gari
 

Attachments

  • 6tag-1559794465-1334225725020933155_1559794465.jpg
    54.7 KB · Views: 127
Nilianza uundaji Wa box za Spika za sub woofer kwa ajil ya magari, nyumbani na maukumbini, natumia MDF Kama materials ya kuundia box, rangi na Leather kwa decolation
Hongera sana Mkuu.za magari unaweza kutuonyesha sample
 
Mkuu kuna dogo anapiga VETA level 2 anapiga Motor vehicles mechanics na Mwingine kamaliza mwaka Jana level 2 automation. Kama ukiwahitaji utani PM
 
Kuna mtu anaitwa Alpha1 huyu nadhani amejikita kwenye ishu za robotics, kuna Transistor huyu kajikita kwenye inovation za vifaa vya umeme, pia kuna kijana anaiywa Frank waya huyu anapiga zote. Ana inovations nyingi zana
 
Mi nakushauri usajili jina la hizo spika kama kampuni halafu endelea kujitangaza kwenye mitandao kama ulivyofanya kwa Millard Ayo na hapa JF. Pia tengeneza videos nyingi kuonesha uzuri wa spika zako (muonekano, sauti) halafu uziweke Youtube na kwingineko. Pia soma mrejesho wa 'comments' za watu ili ujue wateja watataka nini.

Katika biashara, kitu muhimu ni 'positioning', lazima ujiweke kiaina fulani hivi ili watu waweze kukufahamu.

Ntakupa mfano, zamani kulikuwa na 'search engines' nyingi kama (overture.com, ecosite.com na yahoo.com) zilizokuwa zinatoa 'results based on how many times a certain keyword appears'. Hii ilifanya index ya hizo search engines kutokuwa sahihi kwasababu ilijumuisha spam pages zenye keywords nyingi.

Google walikuja na model ya 'pagerank' ambayo ilitoa results based on number of links pointed to a particular page (relevancy). Same business, different positioning na wote tunajua matokeo yake.

Nimekupa mfano huo kuonesha kuwa 'google' waliweza kuchepukia kwasababu wao walisema (positioning) tutatoa 'the most relevant results' na wakatoka. Sasa wewe jaribu kujiweka tofauti, labda unaweza kusema, spika zangu zimenakshiwa na ngozi, au zina 'power' kubwa au nyepesi kubebwa na zinaweza tumika popote. Hiyo yote ni positioning. Kwahiyo tafuta kitu katika 'design' yako ambayo ita 'stand out'.
 
actual bado sijaelewa unachofanya...una edit hizi sabufa mf seapiano au unatengeneza box una weka amplifaya zako ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…