Uundaji wa speakers, subwoofer boxes

Naomba nikuulize swali sub woofer yangu haitoi sauti na haisense flash wala sauti ya TV baada ya kuchomeka smartphone kwenye sub woofer kwa kutumia USB ya kuchagia.
 
Safi sana bro ndo nyie magufuli anao wataka kufikia azima yake ya Tanzania ya Viwanda.
 
Weka picha na bei zake biashara matangazo bwana hili tupige kuoda tu.
 
Samahanini, sijaingia jamii forum almost miez miwili sasa, kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu, sasa nipo online, bei zake zipo kuanzia laki 1, na bei italingana na design na nguvu yake
 
Katika magari
Safi sana kaka mwanzo mzuri,elimu haimaanishi kwenda kuwa bank teller akiba au nmb tu hata vitu kama hivi inataka that's why waliovumbua vitu kama simu tunazotumia au computer walijifungia mahali wakavumbua,nadhani utafika mbali na utawafundisha vijana.
 
Mkuu,kwanza nakupa kongole.
Pili,napenda nikuulize maswali mawili au matatu.
Je,sub moja ya nyumbani inatumia muda gani kuitengeneza?
Je,kama unachukua muda zaidi ya siku 1 kumalizia oda ya mteja,huoni hapo kuna haja ya kuajiri wasaidizi ili uweze kukidhi haja ya soko na wateja wako kuridhika? Hii nazungumzia kama umejitangaza na kupata oda nyingi mkuu.
Mwisho napenda kukupa kongole kwa mara nyingine tena na nitakutafuta muda si mrefu.
Piga kazi kijana na ubarikiwe.
 
Nimezipata habari zako kijana..
Ta ku pm.
 
Big up kaka.
 
Hivi SIDO na huku Jamii forum mnatembeleaga? Huyu mtu ni muhimu saana kwa Agenda zenu za sasa..Wengine hawaijui SIDO kwasababu ilikuwa kichochoroni siku zilizopita..Sasa mjege huku social networks kuwatafuta vijana kama hawa na kuwasaidia..
 
Kazi nzuri kijana.
Kwa mtindo huu na support kwa wabunifu kama wewe, Tanzania ya viwanda inawezekana.
Mh JPM tupia macho huku utimize ndoto zako, maana Tanzania unayoiota imesahaulika huku.
 
Asanteni sana ndugu zangu, kiukweli siwez kuajil vijana bila kuwaandaa ktk skills niliyonayo, pia ukumbuke mm sijasomea masuala haya nafanya as a talent na pia vijana wengi kwasasa hawafanyi vitu kwa moyo ila ni kwasabu amekosa kitu fulan alichotarget kwaiyo hawez kuwa mbunifu kwasabu lengo lake kubwa ni faida (pesa), mm nilisomea ualim wa secondary (degree) nilimaliza chuo mwaka jana mwez wa 7, ndipo nikajikita zaid ktk ubunifu huu, na pia naogopa hata kufanya matangazo ya kutosha kwasabu kaz zitakuwa nyingi na zitanishinda mwishowe lawama, na ukumbuke kila kitu nafanya mwenyewe, mtu ambaye nashirikiana nae ni alpha1 ni mtu ambae natumia muda mwingi kumuuliza mambo mbalimbali lkn kwa simu, jambo jingine huku niliko hakuna soko sana kama ilivyo dar, nilikuepo dar kufanya utafiti wa soko na kubaini lipo na uhitaji upo mkubwa sana kwani kaz yangu imejikita ktk ubunifu wa uundaji sounds system za ndani, kwenye magari na electronics services, namba zangu ni0755680562 kwa maelezo zaid, pia msichoke kunitangaza labda tunaweza kufikia malengo,
Nilsahau kitu kimoja , nataman sana kutafta vijana wenzangu tuunde team , au niwatrain tufanye kaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…