Uume wangu una matatizo wanawake wananikimbia

Mh! nenda kwa daktari ndugu, acha uoga na kujificha nyuma ya
 
inaelekea revolusheni ya binadamu imeaanza kuteki plesi kupitia kwako, maana binadamu walikuwa manyani, wakageuka kuwa binadamu, sasa waafrika tunaanza kuwa wazungu kwa kuanzia kwenye ub%$£"&^*...oooo hadi mwili mzima, duuuh mabadiliko makubwa sana hayo mimi nayangojea kwa hamu kubwa sana...!!!
 
Una maana gani kama umeungua?

Hayo ni maumbile tu,ingekuwa watu wanatembea bila nguo pengine ungeona mengine makubwa kuliko hata hilo.


Kama ni maumbile tu na haikudisturb na haiathiri urijali wako wala lisikusumbue.
 
hapa mbele umekaa kama umeungua yaani ni mweupeeeeeeee dawa yake ni nini jamani

Mkuu pole sana kwa hayo yaliyo kupata, huo ugonjwa unaitwa vitiligo na huwa hautibiki cha msingi ni wewe kuikubali tu hiyo hali na inabidi uende kwa wataalamu wa magonjwa ya ngozi kwa ushauri na huduma zaidi. Kwa wapenda picha hii hapa:
230px-Vitiligo2.JPG
 
Mkuu pole sana kwa hayo yaliyo kupata, huo ugonjwa unaitwa vitiligo na huwa hautibiki cha msingi ni wewe kuikubali tu hiyo hali na inabidi uende kwa wataalamu wa magonjwa ya ngozi kwa ushauri na huduma zaidi. Kwa wapenda picha hii hapa:
230px-Vitiligo2.JPG



Unajua watu tunachangia kimzahamzaha tu lakini hii ishu inaonekana iko so serious,hebu cheki hiyo mikono tu inavyotisha,ukimwonyesha mtoto wa mwaka mmoja kama alikuwa analia ananyamaza na usiku ataota!

Sasa piga picha kwamba ndo penis iko hivyo pale kwa mbele inatisha baab! Hata mwenye nayo utaogopa kuipiga chabo.

Nakumbuka kipindi flan nilifanyiwa op kubwa ya tumbo ( laparatomy) kutokana na utumbo kujifunga then nikawekewa colostomy,hiyo ni kama artificial anus,na inawekwa tumboni pembeni kidogo ya kitovu kwa chini temea mate chini mkuu! nilikuwa najiogopa.

Hadi leo nikikumbuka mwili unasisimka nilikuwa kwenye hali hiyo kwa six months,ndo nikafanyiwa operation nyingine ya kunirudisha katika hali ya kawaida nasikia watu wenye saratani ya utumbo huwekewa njia hiyo for life ( so sad,hujafa hujaumbika).

Tukirudi kwa mleta mada,hapo dawa ni kuoa tu (kama bado) nina imani mwanamke utakaemuoa mwanzoni atapata tabu kwani hata stimu zitakuwa zinamkatikia kitandani
lakini day after day akiishazoea ataona kitu cha kawaida tu,mdoli usiong'ata!

Angalizo vitiligo haina dawa ya kuiondoa,sanasana kadri kiungo kinavyokua nayo inazidi kukua!
 
Tuambie huo weupe ulisababishwa na nini au ndo ulivyozaliwa nao? Au inaelekea ulichovya sehemu zisizochovika
 
Hili sio jukwaa la jokes mwenzako yupo serious ww unaleta utani, na sio lazma uchangie.
 
Hata mimi nilishawahi kumuona jamaa mwenye ishu kama hiyo ila hana wasiwasi nahisi haina madhara alafu kuna mwingine ambae ya kwake ni nyekundu kichwani yaani hakuna madhara.
 
Back
Top Bottom