Uume kusimama legelege

Kama sekta zingine uko sawa, yaani asubuhi unapata erection tatizo ni ulegevu tuu. Kuna option mbili na zote kwangu zinafanya kazi ila nitayokuelekeza ya kwanza ndo naiona ni salama zaidi.
1. Chukua mafuta ya mzaituni (olive oil) na vitunguu swaum punje kadhaa. Viponde vitunguu swaum vitie humo kwenye mafuta ya mzaituni acha vichanganyike kwa walau nusu saa halafu uje uchue kwenye dushe lako (nawa tu mikono dushe usilioshe). Itapendeza ukifanya hili zoezi usiku ili ulale nao huo mchanganyiko then asubuhi ndo unaoga.
NB: Sikushauri kufanya mchana maana utakuwa unanuka vitunguu swaum watu wanaweza wakakukimbia

2. Hii ni ya kihuni zaidi na inafanya kazi ila sikuipendelea sana kwakuwa inahusisha kitu kilichopitia kiwandani. Iko hivi chukua whitedent au colgate herbal (ya kijani sio zile nyekundu) kamulia kwenye kopo donge kubwa kiasi halafu chukua limao kamulia humo koroga mpaka vyote vichanganyike pamoja, uwe unapaka kwenye dushe baada ya nusu saa unanawa. Itakuwasha kama umepaka vicks (ila inavumilika).

Hiizi zote mbili ni zinasisimua misuli ya uume. Hivyo kama tatizo lako ni la kisaikolojia hazitokusaidia. Kujua kama ni tatizo la kisaikolojia itabidi uchepuke tafuta msichana mwingine atakayekuvutia jaribu kulala nae ukiona inasimama fresh basi ujue tatizo ni saikolojia yako tu na huyo mpenzi wako.
Kila la kheri Mkuu.
Mkuu asante kwa ushauri wako hapa jukwaani, Mimi pia Nina tatizo la kutosimamisha na nilisimamisha mashine inakuwa legelege. Afu pia nakosa hamu ya mapenzi swali je huu ushauri wako hapa utanifaa? Msaada wako mkuu
 
Mkuu asante kwa ushauri wako hapa jukwaani, Mimi pia Nina tatizo la kutosimamisha na nilisimamisha mashine inakuwa legelege. Afu pia nakosa hamu ya mapenzi swali je huu ushauri wako hapa utanifaa? Msaada wako mkuu
Me nakushauri ivi, fanya mazoez hasa ya kegels,kula vizuri,pumzka.
 
Mkuu asante kwa ushauri wako hapa jukwaani, Mimi pia Nina tatizo la kutosimamisha na nilisimamisha mashine inakuwa legelege. Afu pia nakosa hamu ya mapenzi swali je huu ushauri wako hapa utanifaa? Msaada wako mkuu
Pole Mkuu. Jambo la msingi ni kujua tatizo lako linasababishwa na nini, kama ni la kisaikolojia utahangaika na hizo Kegel exercises na hutopona. Au kama ni hormonal imbalance utafanya hiyo kuchua na haitokusaidia, ndo maana madaktari hupendekeza vipimo ili ijulikane chanzo then muanze kudeal na tatizo husika. Ila ni gharama ndo maana hata mi binafsi sikwenda.

Kwa symptoms zako nahisi una hormonal imbalance yaani homoni zako za kiume (testosterone) zimeshuka. Hapo kuna dawa inaitwa "Mujarab" wanauza elfu 50 hadi 40 ila kama una muda unatengeneza mwenyewe na haifiki bei hiyo; Tafuta asali lita 1, olive oil, tangawizi, kitunguu swaum, habat soda, uwatu, na pilipili manga (hapo nimetaja kwa uchache ila vinatosha) na ukikosa kabisaa basi changanya asali na kitunguu swaum na tangawizi. Uwe unakunywa vijiko viwili (vya chakula) asubuhi kabla hujala kitu chochote na viwili unapoenda kulala yaani ukiwa ushamalizana na zoezi la kula. Mchanganyiko huu kama umechanganya na lita 1 ya asali huwa unaisha baada ya kama wiki mbili baada ya hapo jisikilizie halo yako ipoje, ukiona bado tengeneza tena. Uzuri wa dawa hii pia huondoa sumu mwilini na huondoa addiction (mfano nilikuwaga mpenzi wa energy drink na masoda ya take away baada ya kutumia hiyo huo uraibu uliondoka). Hayo ma uwatu na habat soda yanapatikana k/koo stendi ya zamani ya gari za tegeta (kwa Abdul Swamad) sina uhakika kama bado yupo ila ukifika mitaa hiyo ukiulizia watu wanakuelekeza na hata kama ye hayupo kuna maduka mengine kwenye fremu hizo wanauza hayo mavitu.

NB: Zingatia sana saikolojia yako (yaani jiamini) maana athari hizi zikishakukuta kujiamini huwa kunaondoka hivyo unaweza ukadhani hujapona kumbe upo sawa haswa kama utaenda kushiriki na yule ambae tatizo lilikukutia kwake. Mimi ilinikuta hiyo gari ikaja kuwakia kwa mchepuko ndo nikajua kumbe nishapona ila saikolojia yangu kwa yule ambae tatizo lilinikuta nae ndo haikuwa sawa.
 
Wadau me kijana miaka 32 maana toka nibalehe sijawahi kushiriki mahusiano ila umri huu nimeamua kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja ili nioe.

Tatizo linalonisumbua uume kusimama legelege hausimami vizuri mpka mwanamke analalamika.

Sijawahi kufanya nyeto,sema nimeangalia sana porn niliacha miaka 3 imepita je tiba yake nini na vipimo gani nikacheki hospital
Kuwa muwazi upate msaada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom