Nahisi sababu ni kuonesha mechi ya EPL.
Ila kama ni free channel inapaswa kusiwe na restriction yoyote ile ya kumsababishia mtazamaji ashindwe kutazama wakati wowote.
Kama wanaonesha content yenye kuhitaji kulipia wapeleke kwenye channels zao za kulipia na isiwe hii channel ya bure