UTV wana taarifa ya habari za uhakika sana.

Big Phil

Member
Nov 20, 2019
50
338
Nimekuwa nafuatilia taarifa za habari kila inapofika saa mbili usiku, mara nyingi kwenye vituo vya ITV na TBC. Vituo vingi vinarusha habari nzuri ila kwa hii stesheni ya UTV ni kiboko. Habari zote zime haliliwa kwa uhakika, watangazaji wapo very smart and consistent no bias. Unafurahi hata kufuatilia hatua kwa hatua. Big up UTV keep on shinning.
 
Hivi UTV ndo Uhai TV au? Ni ya Azam?
 
Azam amepunguza ile usiliazi kama vituo vingine. Ukitazama habari za itv mtu ata hatabasamu au kucheka . Ni kutusomea tuu
 
ITV imebaki kuwa TV ya habari za vijijini. Graphics za kibabu, studio fenicha za kibibi. Wajanja wanacheki UTV habari
 
Nimekuwa nafuatilia taarifa za habari kila inapofika saa mbili usiku, mara nyingi kwenye vituo vya ITV na TBC. Vituo vingi vinarusha habari nzuri ila kwa hii stesheni ya UTV ni kiboko. Habari zote zime haliliwa kwa uhakika, watangazaji wapo very smart and consistent no bias. Unafurahi hata kufuatilia hatua kwa hatua. Big up UTV keep on shinning.
Nakuunga mkono kwa hili

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Mahaba yako tu kwa Ivona Kamuntu nikukumbushe tu ni mke wa mtu yule,, shauri yako
 
Kweli kabsaaa mkuu afu Ivona Kamuntu dizaini kama anakuwaga maji hv au anakula mdude kuboost confidence jicho kama ananyonga "weed"
 
Back
Top Bottom