Uturuki yamwangukia Rais Putin

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
25,179
25,421
Uturuki kupitia rais wake Erdogan imeingukia Urusi juu ya kosa lake la kutungua ndege ya kirusi na pia kusababisha kifo cha ruban wa kirusi. Erdogan ameomba msamaha wa dhati kupitia barua aliyomwandikia Rais Putin. Maelezo haya yametolewa na Peskov, msemaji wa Kremlin.

Erdogan apologizes to Putin over death of Russian pilot - Kremlin
Vladimir Putin has received a letter in which Turkish President Recep Tayyip Erdogan apologized for the death of the Russian pilot who was killed when a Russian jet was downed over the Syrian-Turkish border last November, the Kremlin said.
Erdogan expressed readiness to restore relations with Moscow, Kremlin spokesman Dmitry Peskov said on Monday.

The incident involving the downing of the Russian Su-24 bomber led to the worst deterioration of Turkish-Russian relations in recent history, with Russia describing it as a “stab in the back.”

Source:Erdogan apologizes to Putin over death of Russian pilot - Kremlin

Turkey 'sorry for downing Russian jet' - BBC News
DIPLOMACY - Turkey’s Erdoğan says ‘sorry’ over downed Russian jet

=================
Erdogan kachelewa kusoma alama za nyakati...! Hatapata urafiki aliokuwa nao kabla ya upuuzi wake alioufanya. Erdogan alidanganyika sana na ushauri wa Nyani Ngabu na kauli yake ya 'US baby!' Ambayo sasa atakuwa anasoma kama 'US baddy' ...!
 
Waziwa wa mambo ya nje wa Turkey naye anasema Israel imeondoa siege huko Gaza huu ni unafiki wa hali ya juu na inaonesha Turkey bado ni mnyonge tu kwa Israel.
 
israel alikuwa akiomba warudie urafiki na uturuki ili bomba lake la gase lipite uturuki kwenda ulaya,moja ya masharti ya uturuki ni israel aombe msamaha,aondoe siege gaza,alipe fidia,
israel wakadai wako tayari kuomba msamaha ilimradi uturuki iondoe veto inayokataza israel kufungua ofisi zao katika NATO,iondoe ofisi za hamas zilizoko uturuki,
uturuki ilikubali israel ifungue ofisi Nato,
israel iliomba msamaha kama sikosei,ilikubali kulipa fidia ,lakini walikuwa bado wanakataa kuondoa mzingiro wa gaza,sasa sijui walifika wapi,
turkey wanataka wajenge bomba la gesi,east mediteranean gase pipeline toka visima vya gase vya israel mpaka kwao kwani wanahitaji kujiondoa kutegemea gase ya russia,
israel analitaka soko la gase la uturuki na hatimae ulaya
 
leo umejitahidi kuandika kiujuzi
 
Uturuki kupitia rais wake Erdogan imeingukia Urusi juu ya kosa lake la kutungua ndege ya kirusi na pia kusababisha kifo cha ruban wa kirusi. Erdogan ameomba msamaha wa dhati kupitia barua aliyomwandikia Rais Putin. Maelezo haya yametolewa na Peskov, msemaji wa Kremlin.

Erdogan apologizes to Putin over death of Russian pilot - Kremlin
Vladimir Putin has received a letter in which Turkish President Recep Tayyip Erdogan apologized for the death of the Russian pilot who was killed when a Russian jet was downed over the Syrian-Turkish border last November, the Kremlin said.
Erdogan expressed readiness to restore relations with Moscow, Kremlin spokesman Dmitry Peskov said on Monday.

The incident involving the downing of the Russian Su-24 bomber led to the worst deterioration of Turkish-Russian relations in recent history, with Russia describing it as a “stab in the back.”

Source:Erdogan apologizes to Putin over death of Russian pilot - Kremlin

Turkey 'sorry for downing Russian jet' - BBC News
DIPLOMACY - Turkey’s Erdoğan says ‘sorry’ over downed Russian jet

=================
Erdogan kachelewa kusoma alama za nyakati...! Hatapata urafiki aliokuwa nao kabla ya upuuzi wake alioufanya. Erdogan alidanganyika sana na ushauri wa Nyani Ngabu na kauli yake ya 'US baby!' Ambayo sasa atakuwa anasoma kama 'US baddy' ...!

Aaaaaaaah, humu JF sasa mumezidi utani, USHAURI WA NYANI NGABU?? acha bwana kumkejeli comrade, NYANI NGABU....tehtehtehtehteh
 
israel alikuwa akiomba warudie urafiki na uturuki ili bomba lake la gase lipite uturuki kwenda ulaya,moja ya masharti ya uturuki ni israel aombe msamaha,aondoe siege gaza,alipe fidia,
israel wakadai wako tayari kuomba msamaha ilimradi uturuki iondoe veto inayokataza israel kufungua ofisi zao katika NATO,iondoe ofisi za hamas zilizoko uturuki,
uturuki ilikubali israel ifungue ofisi Nato,
israel iliomba msamaha kama sikosei,ilikubali kulipa fidia ,lakini walikuwa bado wanakataa kuondoa mzingiro wa gaza,sasa sijui walifika wapi,
turkey wanataka wajenge bomba la gesi,east mediteranean gase pipeline toka visima vya gase vya israel mpaka kwao kwani wanahitaji kujiondoa kutegemea gase ya russia,
israel analitaka soko la gase la uturuki na hatimae ulaya

Turkey ndio waliomba msamaha kwa Israel baada ya kubwagwa na Russia. Turkey ndio walianzisha mazungumzo na Israel. Wanataka watalii ,teknolojia na gesi kutoka Israel.
Turkey kuvunjika uhusiano na Russia kuliiathiri Sana mpaka ikakumbuka kumtafuta Israel, vile vile imeshindwa Ku operate Syria kama zamani kwasababu ya Russia na magaidi WA Isis wamefululiza kuishambulia
 
Back
Top Bottom