falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,162
- 9,245
- Thread starter
- #141
nilikuwa nakudharau sana kuanzia i salute uActually hivi hapo syria kuna hiyo land based S-400 imewekwa Hmeymim airbase na pia kuna ile S-300 seabased iko ndani ya moscva ile cruiser missile ship iliyopo karibu na latakia.
S-400 ni top tier air defence system na haina mshindani globally interms of capabilities.
Chukulia mfano US top airdefence system ambayo ni Terminal High Altitude Area Defence(THAAD),ina range ndogo kuliko s-400 na haiwezi kupiga target beyond the horizon na pia ni pure antiballistic kwa ajili ya kushootdown ballistic missile,tofauti na S-400 inayoweza kushootdown makombora na pia ndege,
pia S-400 ni fire and forget capability,means once ukishalock on target,you fire and forget kombora lenyewe lina homing device,so hata target iko beyond the horizon itapigwa tu,
system iko well protected agaisnt electronic warfare kwahiyo hata mashambulizi ya adui yaani suppression of Enemy Air Defence(SEAD) hayawezi kuijam.
Uwezekano wa system hii kuwa kuzidiwa na shambulio la makombora cheap kwa wingi ni suala la kusubiri na kuona,lakini system huwa inakuwa na intergrated system so overwhelming the system inakua next to impossible