kinyoba
JF-Expert Member
- Jun 2, 2011
- 1,267
- 718
unachosema kinawezekana ndio maana hizi silaha hazitengenezwi chache. unakuta Mrusi anazo hizi zana zaidi ya 50. zingine zinafichwa maana mambo ya kijeshi mostly ni siri kubwa. hizo fighter jets za mrusi SU 34 ambazo ni very deadly mrusi anazo zaidi ya 80 so mmarekani akirusha ndege mia kuja kushambulia urusi nae anaweza kurusha ndege 200 kwenda kupambana nazo juu kwa juu. vita ya mataifa makubwa ni mbaya sana usiombe itokee mana huwez kujua nani ni zaidi ya mwenzie