Uturuki kupokea misaada zaidi

Uturuki kupokea misaada zaidi

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,093
Reaction score
34,910
130323145906_syria_eu_640x360_bbc_nocredit.jpg

Mjadala unaendelea hapa na pale.

Umoja wa ulaya utaisaidia Uturuki msaada wenye thamani ya dola za kimarekani milioni themanini,ili kuwasaidia wakimbizi walioko kwenye mgogoro wa kivita kati ya Syria na Uturuki,kwasasa wakimbizi wa Uturuki wamefikia asilimia 1.6 milioni.

Mkuu wa umoja wa ulaya wa misaada na sera za kigeni, Federica Mogherini, ametoa tamko la msaada huo akiwa mjini Ankara,alipokuwa katika ziara ya siku mbili kwa lengo la kukuza ushirikiano katika kuwapiga vita wanamgambo wa dola ya kiislam.

Lakini lengo la pili la ziara yake nchini humo ni kuharakisha nchi ya Uturuki ijiunge na Umoja wa Ulaya,harakati zilizoanzwa mwaka 1987 ni baada ya kuweka sheria za sera za kigeni hivi karibuni na hali ya mahusiano kutetereka.


Chanzo:BBC
 
milioni 80 ni hela ndogo sana, wangekuja tu kumwomba hata baresa hapa angewapa. wazungu waajabu sana.
 
Yaani si nusu tu ya mzigo wa escrow hii.... kumbe hata wa tanzania tu kipata viongoz makini wacha pa kazi baada ya mda mfuko t unaweza tu si hit au kabisa misada yao yenye masharti mgumu ya kishoga na kuchota rasilimali zetu.
 
na mimi nilimaanisha hivyo, dola milioni 80 hata bil.150 za kitz hazifiki. unafikiri hela nyingi hiyo?
Kwa wakimbizi ni nyingi sana,kumbuka haziendi kusaidia wengine zaidi ya wakimbizi.
 
Back
Top Bottom