Utupaji wa nguo za ndani

Bora huyo anazichoma hizo pedi, me ninaye rafiki yangu, yeye huwa anaziosha na maji, then anazitupa, eti mama yao kawakataza kuzitupa zikiwa na uchafu, ni mwiko, nikimuuliza ni mwiko kivipi hanijibu, na hapo cjui inakuwaje
 
Mmmhh huyu nae kazidi kuziosha tena kha? Mie hata ile harufu yake huwa siipendi hata kuisimia pamoja na kuchange mara nne kwa siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…