Utupaji wa nguo za ndani

mafuta ya taa + kibiriti = chupi destroyed........
 
hahahahahhahhhhhhhhhhhhhhh! snowhite ana jibu hapo ila hamjamwelewa ngoja nikae opo niwaaangalie mtaishia wapi................
 
Last edited by a moderator:
mimi hata sivai hizo nguo
kazi yake nini mwilini? sio lazima kuiga mzungu kila kitu jamani
mnadhani kitapotea au kitakuwaje manafiiicha!
 

Hapo ndipo penye shida mamie... Et ni mwiko kuchoma.ila hawasemi kuna madhara gani.....
 
Piga kiberiti kwenda mbele,mwiko mwiko mwiko maana yake nn?
 
Moto ndio watumika kuziondoa duniani nguo za namna hiyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…