Hi all...................
Kama mjuavyo nguo za ndani (bra na chu.pi hasa za kina dada) ni nguo ambazo huwezi kuzigawa baada yakuwa zimechoka ama huzihitaji tena. Haya ndo nauliza baada ya hizo nguo kuchokaama kutohitajika huwa mnazitunza wapi ama kuzitupa wapi make juzi katinimekutana na mjadala kuhusu utupwaji wa nguo hizooooo!!!!!
- Mwingine alisema kuwa Huwa anazichoma moto
- Mwingine akasema ni mwiko/ vibaya kuzichoma.Zinapaswa "kuzikwa chini ya ardhi" bila kusema sababu ya ubaya huo.
Haya wanajamvi, nikaona huenda kuna ukweli katika hiyo miiko
..Hebu tiririkeni kuhusu utupwaji wa hizo nguo make mwenzenu mie ni muumini wakuzitia kiberiti may be navunja miiiko
..
Mchana mwemaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!! :A S 39: :A S 39: :A S 39: