said Nundu JR
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 466
- 359
Subiri akaze mishipa ya kiuno na kuanzisha ubishi wa kapu la "mahogo-kivunde"! You jus' have to wait a little bit!Hao ni wamissionari wa kikatoliki. Nimeelewa kabisa uzi wako na lengo lake kwamba unaona waarabu wanaonewa hawakutesa watu. Ni hivi maalim, wamisionari wa kikatoliki walikuwa wanawanunua kutoka kwa mabwanyenye masultani wa kiarabu na baadaye kuwarudishia uraia wao na kuwa huru. Wengi walikuwa wanatunzwa bagamoyo na walipewa mafundisho na wengi ndio walikuwa makatekista yaani waalimu wa kizalindo ya dini ya Kikatoliki. Nenda pale bagamoyo hizo picha na maelezo utayakuta mengi.
Mmh mbona black American hawapo uarabuni wapo ulaya na America na huko uzunguni kungineHao ni wamissionari wa kikatoliki. Nimeelewa kabisa uzi wako na lengo lake kwamba unaona waarabu wanaonewa hawakutesa watu. Ni hivi maalim, wamisionari wa kikatoliki walikuwa wanawanunua kutoka kwa mabwanyenye masultani wa kiarabu na baadaye kuwarudishia uraia wao na kuwa huru. Wengi walikuwa wanatunzwa bagamoyo na walipewa mafundisho na wengi ndio walikuwa makatekista yaani waalimu wa kizalindo ya dini ya Kikatoliki. Nenda pale bagamoyo hizo picha na maelezo utayakuta mengi.
Ilikuwa sarcasm…
Una uhakika?Hawapo au hawapo kwa wingi?Jiulize;Kama waliendaMmh mbona black American hawapo uarabuni wapo ulaya na America na huko uzunguni kungine
Repeat a lie several times, eventually it will assert itself to be a truthUna uhakika?Hawapo au hawapo kwa wingi?Jiulize;Kama walienda
1-Walipata fursa ya kuendeleza vizazi vyao?
2-Je,walenda na wanawake weusi wenzao kuendeleza kizazi chao?
3-Hata kama hawakwenda na wenza wao wa kike ,waliruhusiwa kuoa hao "wanawake wa kiarabu/Asia ili kuendeleza asili yao?
USHAURI:
Jikite zaidi kujijuza ilikuwaje watumwa kutoka Afrika wakawa nadra Asia au sehemu zingine kutokuwepo.
Labda hujui tu. Kuna “waarabu weusi” wengi tu bara Arabia…Mmh mbona black American hawapo uarabuni wapo ulaya na America na huko uzunguni kungine
Mh hii style yako ya uongo nimeipenda aiseeLabda hujui tu. Kuna “waarabu weusi” wengi sana bara Arabia…
Lugha uliyoitumia imenipiga kwenzi la utosi.Yawezekana unataka kuandika kuwa Waarabu hawakuwahi kutwaa watumwa wenye asili ya Afrika.Sivyo?Naishia hapo.Repeat a lie several times, eventually it will assert itself to be a truth
Mh hii style yako ya uongo nimeipenda aisee
Wanaweza kuwa wapo Ila idadi Yao si kama maeneo ambako biashara ya utumwa ili tamalakiInaonekana tuna upeo tofauti sana mkuu.. Sawa nikuache ukiendelea kuamini hakuna watu weusi wazawa wa Uarabuni… karne na karne…
Ukimaanisha waarabu hawakufanya biashara ya utumwa? Ama?Wanaweza kuwa wapo Ila idadi Yao si kama maeneo ambako biashara ya utumwa ili tamalaki
Mimi mwenyewe nikishabugia balimi zangu za kutosha huwa naamua tu kwa makusudi kuanzisha ubishi.Amini usiamini huwa nagomea vitu dhahiri hadi unaweza kuniomba vyeti vya matibabu.Inaonekana tuna upeo tofauti sana mkuu.. Sawa nikuache ukiendelea kuamini hakuna watu weusi wazawa wa Uarabuni… karne na karne…