utumishi wametema

utumishi wametema

Joined
Apr 15, 2013
Posts
12
Reaction score
2
kwa wale wote walioomba kazi katika sekta mbalimbali utumishi wametema.tafuta jina lako mapema anza kureview madesa uliyoyasoma kapige interview nawaombea mema mungu awabariki
 
wazee ila sidhan kama wameita kote mana kuna jamaa ameomba nimuangalizie na aliomba kupitia wizara ya nishati na madin au ndo ishafutwa
 
kwa wale wote walioomba kazi katika sekta mbalimbali utumishi wametema.tafuta jina lako mapema anza kureview madesa uliyoyasoma kapige interview nawaombea mema mungu awabariki

wanajavi tunaomba mtusaidie hilo tangazo linapatikana websit gan au kama vp tnaomba mliattach hapa ili tuweze kuchek:shock:
 
Back
Top Bottom