Utumishi (PSRS) mtatuua

Hello guys. Kwa wakazi wa Moshi/Arusha kuna usafiri private kwa watu wanne interested.

Bei ni Tshs elfu 30 tu.

Tutaondoka Ijumaa tarehe 19/05/2023 saa moja asubuhi.

PACKAGE INCLUDES:
1.Usafiri kutoka Moshi bus stand/Arusha bus stand saa moja asubuhi ya tarehe 19 hadi Dodoma mjini.

2. Usafiri kutoka Dodoma mjini hadi UDOM ukumbi wa CIVE au kumbi jirani tarehe 20 saa kumi na mbili asubuhi (ili kuwahi interview).

3. Usafiri kutoka ukumbi wa interview hadi Dodoma mjini tutakapofikia.

✓Other benefits include:
•Kudiscuss kwenye gari kwa pamoja
•Kusimama popote njiani and other benefits of a private travel.
•Uwezekano wa kupata mtu wa kushare room accommodation ( kwa tutakaosafiri pamoja) kupunguza cost.

DM if interested/call,text, WhatsApp 0623 934 970

MALIPO YANAPOKELEWA KWA MKONO ( in person) MWISHO SIKU YA ALHAMISI YA TAREHE 18/05/2023 SAA SITA MCHANA
 
Lini siku hela zetu za lodge na nauli za kwenda dodoma kwenye usaili wa utumishi zitarudi ...

Tunatumia Hela nyingi Sana Sana.

Tunaishia Kwenye msitari wa NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW.
Kuna siku Mungu atakukumbuka! Usikate tamaa. Hawa ambao wanakuwa selected for oral waliwahi pia kupigwa chini ya mstari na kuambiwa not selected for oral. Pia hawa wanaoitwa kwa ajira wamewahi kufanya oral nyingi tu wakaishia kuambiwa "kama jina lako halipo tambua kuwa hukupata nafasi/hukufaulu usaili na usisite kuomba tena nafasi zikitangazwa. Kwa hiyo na wewe siku yako ya kuramba asali iko njiani, jitie moyo.
 
Lini siku hela zetu za lodge na nauli za kwenda dodoma kwenye usaili wa utumishi zitarudi ...

Tunatumia Hela nyingi Sana Sana.

Tunaishia Kwenye msitari wa NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW.
public service recruitment secretariat(PSRS) wanaviburi sana waziri alishasemaga usahili ufanyike kikanda lakini hawataki unakuta
1. usahili wa written dodoma
2. usahili wa practical dodom
3 .usahili wa oral dodoma

mtu unapoteza pesa za nenda rudi nenda rudi mwisho wa siku unaishia oral na kuitwa hauitwi
 
Hello guys. Kwa wakazi wa Moshi/Arusha kuna usafiri private kwa watu wanne interested.

Bei ni Tshs elfu 30 tu.

Tutaondoka Ijumaa tarehe 19/05/2023 saa moja asubuhi.

PACKAGE INCLUDES:
1.Usafiri kutoka Moshi bus stand/Arusha bus stand saa moja asubuhi ya tarehe 19 hadi Dodoma mjini.

2. Usafiri kutoka Dodoma mjini hadi UDOM ukumbi wa CIVE au kumbi jirani tarehe 20 saa kumi na mbili asubuhi (ili kuwahi interview).

3. Usafiri kutoka ukumbi wa interview hadi Dodoma mjini tutakapofikia.

✓Other benefits include:
•Kudiscuss kwenye gari kwa pamoja
•Kusimama popote njiani and other benefits of a private travel.
•Uwezekano wa kupata mtu wa kushare room accommodation ( kwa tutakaosafiri pamoja) kupunguza cost.

DM if interested/call,text, WhatsApp 0623 934 970

MALIPO YANAPOKELEWA KWA MKONO ( in person) MWISHO SIKU YA ALHAMISI YA TAREHE 18/05/2023 SAA SITA MCHANA
Hii ni nzuri Sana na inaokoa ghalama. Changamoto yake ni pale inapotokea watu baadhi wakachaguliwa oral na mwenye usafiri kaishia written au vice versa.
 
Back
Top Bottom