Utumishi Portal hatimaye yafunguliwa

Utumishi Portal hatimaye yafunguliwa

JOSE KASANO

Senior Member
Joined
Apr 23, 2013
Posts
122
Reaction score
95
Kwa watumishi wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi, mfumo wa utumishi portal kipengele cha kubadilishana kituo, kilikuwa kinasumbua hasa sehemu za kuingiza mkoa na wilaya zimefungukiliwa.Kwa hiyo watumishi wenye uhitaji wa kubadilishana vituo vya kazi,jazeni mkakutanishwe na wenzenu.
 
Asante kwa taarifa..haya walimu fursa hiyo maana nyie ndio vinara wa kuhama hama bila sababu!!.. yaani longo longo za kuhama hama zimewajaa.. kazi kwenu sasa!!
 
Kwanini kila kitu walimu ndio wanaambiwa?ni dharau au upendo dhidi yao.
 
Kwanini kila kitu walimu ndio wanaambiwa?ni dharau au upendo dhidi yao.

Hiyo fani imevamiwa na wasanii siku hizi... mtu anapangiwa kituo cha kazi baada ya mwezi anaomba uhamisho akikataliwa anaenda kusoma kozi yoyote ile na kuwaacha watoto bila mwalimu... yaani wote wanataka kukaa mijini tu.. nani atafundisha vijijijini?
 
Back
Top Bottom