Utumishi Mnawakosea Watu:Waombeni Radhi Health Attendant mliowaita

Jan 4, 2014
31
11
Haiwezekani umchague mtu kuja kufanya interview wakati unajua kabisa hana ufaulu unaoutaka.
Health attendant wengi wamezuiliwa kuingia ktk usaili DUCE kwa kigezo cha kutokuwa na ufaulu wa Kiswahili au English wakati wamekuwa selected kufanya interview.
Hivi hawa utumishi wana mawazo kweli ya kisomi. Waliwaingiza gharama ya nini watu hawa. Halafu wanasimama na kuwajibu Tulifanya makosa kuwachagua. Shame! hivi mko professional kwel? mlishindwa kuwataarifu kweli?
 
Nalo hilo ni chujio pole sana
Hapana si sawa kabisa. Unaposhortlist watu maana ake wana vigezo unavohtaji. unachokwenda kuthibitisha ni ule uwezo uliopo ktk vyeti na kujiamini kwake. Unapomwambia tulikuchagua kimakosa inaonesha ni jinsi gan ulivyokuwa huna umakini ktk kuamua.
 
Not Fair at all
Yes! Hili si sawa kabisa. Na hili limejitokeza dhahiri, sasa sijui yale ambayo hayajitokezi dhahiri. Anasimama mtu kuwakebehi, Hivi nyinyi mnafeli hadi Kiswahili mtaongeaje na wagonjwa? Aliemwambia anaefeli Kiswahili hawez kuongea nani?
Waache ubabaishaji! Madaktari, maengeneer na Manesi wangap wana PCM, PCB zao nzuri kabisa lakn wakiwa na F ya kiswahili?.
 
Duuuuuhh kumbe ndio wale waliokwama pale nje ya Theatre B kule DUCE
Yes ndo wale mkuu!
Hivi hawakupitia taarifa na vyeti vya hawa waombaji kujua kama wana sifa stahiki? Kama kulitokea mabadiliko ya vigezo baada ya kuwachagua basi walipaswa kuwapa taarifa mapema. Wengine wana kama siku tatu au nne wamefika Dar. Lakin walichowafanyia si sahihi kabisa and it is unprofessional kwa taasisi kubwa kama hii.
 
Haiwezekani umchague mtu kuja kufanya interview wakati unajua kabisa hana ufaulu unaoutaka.
Health attendant wengi wamezuiliwa kuingia ktk usaili DUCE kwa kigezo cha kutokuwa na ufaulu wa Kiswahili au English wakati wamekuwa selected kufanya interview.
Hivi hawa utumishi wana mawazo kweli ya kisomi. Waliwaingiza gharama ya nini watu hawa. Halafu wanasimama na kuwajibu Tulifanya makosa kuwachagua. Shame! hivi mko professional kwel? mlishindwa kuwataarifu kweli?
Kwani wameita teyari Mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom