Mtunda Lubaragula
Member
- Jan 4, 2014
- 31
- 11
Haiwezekani umchague mtu kuja kufanya interview wakati unajua kabisa hana ufaulu unaoutaka.
Health attendant wengi wamezuiliwa kuingia ktk usaili DUCE kwa kigezo cha kutokuwa na ufaulu wa Kiswahili au English wakati wamekuwa selected kufanya interview.
Hivi hawa utumishi wana mawazo kweli ya kisomi. Waliwaingiza gharama ya nini watu hawa. Halafu wanasimama na kuwajibu Tulifanya makosa kuwachagua. Shame! hivi mko professional kwel? mlishindwa kuwataarifu kweli?